Results for alipata translation from Swahili to Italian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

meena alipata umaaarufu tokea mwanzoni.

Italian

meena è diventata subito famosa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tena si hayo tu ila pia rebeka naye alipata mapacha kwa baba mmoja, yaani isaka, babu yetu.

Italian

e non è tutto; c'è anche rebecca che ebbe figli da un solo uomo, isacco nostro padre

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

abrahamu hakuionea mashaka ile ahadi ya mungu; alipata nguvu kutokana na imani, akamtukuza mungu.

Italian

per la promessa di dio non esitò con incredulità, ma si rafforzò nella fede e diede gloria a dio

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini saulo alipata habari ya mpango huo. usiku na mchana walilinda milango ya kuingia mjini ili wapate kumwua.

Italian

ma i loro piani vennero a conoscenza di saulo. essi facevano la guardia anche alle porte della città di giorno e di notte per sopprimerlo

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nilimuuliza alipata wapi ujasiri wa kutumia ukurasa wake wa twita kama namna ya kufuatilia muda wanaopaswa kutumikia wanahabari hao wakiwa katika hali mbaya ya maisha ya gerezani.

Italian

in un'occasione le chiesi a cosa si ispirasse l'utilizzo di un proprio account twitter per tenere il conto del tempo da quando erano stati imprigionati documentando così la spaventosa situazione dei giornalisti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwenye televisheni, mwanzoni, meena hakuruhusiwa kwenda shuleni kabisa. lakini alibadililika sana na mwishowe alipata furasa ya kwenda shuleni.

Italian

nel cartone animato, anche a meena inizialmente viene proibito di andare a scuola, ma lei cambia il suo destino e ottiene il permesso di andare a scuola.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadae alijiunga na elimu ya sekondari ambapo ni mara chache sana alipata muda wa kufanya biashara yake ya mkaa, hivyo alilazimika kuwa fundi viatu, alikuwa akirekebisha viatu vya watoto shuleni.

Italian

durante la scuola media non aveva più tempo per il suo lavoro col carbone e quindi è diventato un calzolaio, era solito riparare le scarpe dei bambini a scuola.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sasa, mtawala herode, alipata habari za mambo yote yaliyokuwa yanatendeka, akawa na wasiwasi kwa vile walikuwa wakisema: "yohane amefufuka kutoka wafu!"

Italian

intanto il tetrarca erode sentì parlare di tutti questi avvenimenti e non sapeva che cosa pensare, perché alcuni dicevano: «giovanni è risuscitato dai morti»

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wanahabari wa kituo kikuu cha televisheni cha ukraine, tsn, walitanabaisha kuwa, asilimia 10 tu ya makosa ya ubakaji yanafunguliwa mashitaka mahakamani na walimuuliza ndugu olexandr sych ambaye ni miongoni mwa waandishi wa mswada huu kuwa, mwanamke angefanyeje kama alipata ujauzito lakini akashindwa kuthibitisha kuwa alibakwa?

Italian

i reporter di una delle principali emittenti televisive ucraine, tsn, hanno rilevato che solo il 10 per cento delle accuse di stupro diventa caso giudiziario. hanno quindi chiesto a olexandr sych, uno degli autori del disegno di legge, cosa dovrebbe fare una donna nel caso rimanesse incinta ma non riuscisse a dimostrare l'avvenuto stupro.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,843,931,684 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK