From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hapa ni zawadi sahihi kabisa ya kuukaribisha mwaka mpya: kitabu-pepe kipya tulichokiandika kwa heshima yaeneo la afrika kusini mwa jangwa la sahara.
ecco il regalo perfetto per dare il benvenuto all'anno nuovo: il nostro nuovo e-book dedicato alla regione dell'africa sub-sahariana .
kwa mara ya kwanza tulikutana mwaka 2012, mara tu baada ya yeye kurejea baada ya shughuli yake ya mwaka mmoja ya kuripoti akiwa nchini kenya.
ci siamo conosciuti nel 2012, quando era appena ritornato dal kenya dove aveva lavorato come giornalista per un anno.
ugojwa unaofanana na kifafa unaosababisha akili na mwili kwa ujumla kushindwa kufanya kazi vizuri, unaathiri watoto walio na umri kati ya mwaka 1 hadi miaka 10.
la sindrome dell'annuire (nodding disease) è una grave patologia debilitante - in molti casi fatale - che colpisce bambini tra i 5 e i 15 anni.
ikiwa imelengwa kupanua mukhtadha na kukuza malengo ya global voices, this mkusanyiko huu wa posti za mwaka 2012 utajaribu kuelezea muundo huo changamani na kufungua upeo kwa ajili ya mwaka ujao.
nata con lo scopo di fornire un contesto più ampio e promuovere la missione di global voices, questa raccolta di post del 2012 tenta di analizzare una realtà così complessa e ampliare l'orizzonte per l'anno che sta iniziando.
wakati huohuo, instituto sangari , taasisi isiyo ya kibiashara ya kuelimisha jamii juu utamaduni wa kisayansi iliyopo são paulo, ilichapisha ramani ya ukatili nchini brazil ya mwaka 2010 ikieleza kuwa wanawake kumi wanauawa kila siku nchini humo.
contemporaneamente, l'instituto zangari , istituzione scientifica con sede a san paolo, ha pubblicato l'edizione 2010 della mappa della violenza in brasile in cui si dichiara che nel paese, ogni giorno vengono assassinate 10 donne.
katika shirika la utafiti la taifa nchini ufaransa (cnrs) kwa mfano, pamoja na kuwa na nguvu kazi imara, ruzuku kutoka serikalini iliongezeka kwa euro 293 bilioni kati ya mwaka 2006 na 2011.
nel centro nazionale francese per la ricerca scientifica (cnrs), insieme al numero di impiegati fissi, è aumentato anche il sussidio pubblico di 293 miliardi di euro tra il 2006 ed il 2011.
mwezi aprili, ripoti ya mwaka ya haki za binadamu na demokrasia ya wizara ya mambo ya nje ya uingereza ilikosoa rekodi ya haki za binadamu nchini humo chini ya rais yahya jammeh, ikionyesha ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ikiwa ni pamoja na ukamataji wa raia usiofuata sheria, kufungwa kwa magazeti kinyume cha sheria na unyanyasaji wa makundi madogo.
ad aprile, il rapporto annuale sui diritti umani e democrazia del foreign office britannico ha denunciato il mancato rispetto dei diritti umani sotto la presidenza di yahya jammeh, evidenziando violazioni come custodie cautelari illegali e chiusura di testate giornalistiche, oltre alla discriminazione nei confronti delle minoranze.
jambo hili pia liliwekwa bayana na shirika la kutetea haki za binadamu la amnesty international katika taarifa yake ya mwaka 2003: hukumu zisizo za haki: maumivu katika kusimamia haki (ai index: amr 41/007/2003/). raisi wa klabu ya pen , eugene schoulgin, alimtembelea mwaka 2006; na pia jopo la wanasheria wa haki za binadamu wanamtetea, na tume ya haki za binadamu ya shirikisho ya wilaya (jiji la mexico) ilitoa mapendekezo 12/02 kufuatia uonevu na ukiukwaji wa taratibu wanazozisimamia.
il caso venne riportato anche da amnesty international nel suo report del 2003 unfair trials: torture in the administration of justice (ai index: amr 41/007/2003/); il presidente del pen club, eugene schoulgin, gli ha fatto visita nel 2006; anche l'avvocato del comitato per i diritti umani lo difende, e la commissione per i diritti umani del distretto federale di città del messico ha pubblicato una raccomandazione 12/02 a causa di tortura e violazione delle sue garanzie legali.