Results for humu translation from Swahili to Italian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

mola wetu mlezi! tutoe humu motoni.

Italian

signore, facci uscire di qui!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mmet'ahirika. basi ingieni humu mkae milele.

Italian

siete stati buoni; entrate qui per rimanervi in perpetuo”.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu wengi sana hawakuamini kwamba mzungu angeweza kushughulikia kazi za aina ile nchini humu.

Italian

così, un giorno gli ho chiesto se potevo accompagnarlo nella sua routine quotidiana e lui ha accettato.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akasema: ondokeni humu nyote, hali ya kuwa ni maadui nyinyi kwa nyinyi.

Italian

e disse: “scendete insieme! sarete nemici gli uni degli altri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama pasingekuwa na hofu na chuki dhidi ya mashoga mjini humu, tusingekuwa na zengwe hili la kuthibitishwa kwa oronoz.

Italian

se non fosse per la dilagante "lesbofobia" nella capitale, non ci ritroveremmo in questo caos per la conferma della nomina della oronoz.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ambaye kwa fadhila yake ametuweka makao ya kukaa daima; humu haitugusi taabu wala humu hakutugusi kuchoka.

Italian

È colui che ci ha introdotti per grazia sua, nella dimora della quiete, in cui non ci affliggerà nessuna fatica o stanchezza”.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tofauti hiyo inasikitisha zaidi afrika kwa sababu kiwango cha umasikini kimeendelea kuwa juu kwa miongo mingi mfululizo, pamoja na kukua kwa wastani wa pato la taifa barani humu.

Italian

il contrasto risulta particolarmente stridente in africa, dove il tasso di povertà si è mantenuto elevato per decenni, nonostante il continente abbia registrato una significativa crescita media del pil.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwanza, akanizungusha mitaani nikiuza bidhaa zake, eti nipate mafunzo. aliifurahia faida aliyoipata kazi yangu mpya ikanipa uelewevu bora zaidi wa sekta isiyo rasmi nchini humu.

Italian

“poco dopo il mio arrivo ho incontrato un ragazzo che ha manifestato, fin dal nostro primo incontro, l’ardente desiderio di lasciare il senegal.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sasa, msalaba mwekundu kenya wenyewe wamekuwa wakifanya kazi kubwa, lakini wana tatizo kwamba wafanyakazi wao wengi bado wanategemea sana kalamu na karatasi (na kuna kikundi cha watu wengine, wakiongozwa na nivi wa elimu, wanaojaribu kutengeneza mfumo wa "database" utakaokuwa wa humu humu nchini ili kufanya kazi hii iwe ya kidijitali bila kulazimika kuweka majina halisi ya watu mtandaoni).

Italian

la stessa croce rossa keniota sta facendo un ottimo lavoro, ma ha dei problemi visto che usa ancora carta e penna (c'è un altro gruppo che lavora localmente su un sistema di database ospiti, gestito da nivi di elimu, peri digitalizzare il materiale senza però inserire i nomi delle persone in rete).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,941,828,474 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK