From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hashikwi na usingizi wala kulala.
non lo prendon mai sopore, né sonno.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na tukakufanya kulala kwenu ni mapumziko?
e facciamo del vostro sonno un riposo,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
mkisha sali basi mkumbukeni mwenyezi mungu mkisimama, na mkikaa, na mnapo jinyoosha kwa kulala.
poi, dopo l'orazione, ricordatevi di allah, in piedi, seduti o coricati su un fianco.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
wao walidhani kwamba alikuwa amesema juu ya kulala usingizi, kumbe alikuwa amesema juu ya kifo cha lazaro.
gesù parlava della morte di lui, essi invece pensarono che si riferisse al riposo del sonno
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
kulala kwake wakati wa shughuli za hadharani imekuwa kawaida katika miezi ya hivi karibuni ambapo urusi inatengeneza sera.
la sua propensione ad assopirsi durante le cerimonie pubbliche rappresenta il filo conduttore degli ultimi due mesi della politica russa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
-"hakuna kulala, hakuna kulala"-"zzzzzz"picha isiyojulikana imewekwa mtandaoni na nani.
-"non devo dormire, non devo dormire"-"zzzzzz"immagine anonima trovata online.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
na zile zisio kufa wakati wa kulala kwake, huzishika zilizo hukumiwa kufa, na huzirudisha nyengine mpaka ufike wakati uliowekwa.
trattiene poi quella di cui ha deciso la morte e rinvia l'altra fino ad un termine stabilito.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
hali katika baadhi ya vyumba vya gereza hilo ni mbaya mno ... za kutisha ... tafadhali usiitazame muda mfupi kabla ya kwenda kulala ...
le condizioni in alcune celle sono terrificanti.....infernali.....non guardatelo prima di andare a dormire....
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
petro akawaalika ndani, akawapa mahali pa kulala usiku ule. kesho yake, petro alianza safari pamoja nao, na baadhi ya ndugu wa huko yopa walifuatana naye.
pietro allora li fece entrare e li ospitò. il giorno seguente si mise in viaggio con loro e alcuni fratelli di giaffa lo accompagnarono
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
jua lilipokuwa linaanza kutua, wale kumi na wawili walimwendea wakamwambia, "waage watu waende kwenye vijiji na mashamba ya karibu, wakajipatie chakula na mahali pa kulala, kwa maana hapa tulipo ni nyikani."
il giorno cominciava a declinare e i dodici gli si avvicinarono dicendo: «congeda la folla, perché vada nei villaggi e nelle campagne dintorno per alloggiare e trovar cibo, poiché qui siamo in una zona deserta»
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting