Results for kutazama translation from Swahili to Italian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

kisha akapiga jicho kutazama nyota.

Italian

gettò, poi, uno sguardo agli astri,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini yesu akaendelea kutazama amwone huyo aliyefanya hivyo.

Italian

egli intanto guardava intorno, per vedere colei che aveva fatto questo

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na wapo miongoni mwao wanao kutazama. je, wewe utawaongoa vipofu ingawa hawaoni?

Italian

qualcun altro guarda verso di te: potresti guidare i ciechi, che nulla vedono?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sisi ni nchi iliyogawanywa katika sehemu zilizo sawa na ni lazima tujifunze kutazama upande wa pili.

Italian

il nostro è un paese diviso in parti uguali e dobbiamo imparare a guardare l'altra parte.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

marafiki zake wote pamoja na wale wanawake walioandamana naye kutoka galilaya, walisimama kwa mbali kutazama tukio hilo.

Italian

tutti i suoi conoscenti assistevano da lontano e così le donne che lo avevano seguito fin dalla galilea, osservando questi avvenimenti

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

unaweza kupata habari zaidi kuhusu kazi ya bukeni na kampeni ya witness kuhusu askari watoto kwa kutazama hapa. here.

Italian

sul sito di witness maggiori informazioni sul lavoro svolto da bukeni e witness sui bambini soldato

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watawa wameripotiwa kushiriki katika matukio kadhaa yaliyohusisha utumiaji nguvu au utovu wa nidhamu ikiwemo kushiriki tendo la ngono au kutazama picha na video za ngono.

Italian

in diverse occasioni i monaci hanno mostrato atteggiamenti violenti o non consoni al loro ruolo, tra cui l'avere rapporti sessuali o guardare materiale pornografico.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwao yametimia yale aliyosema nabii isaya: kusikia mtasikia, lakini hamtaelewa; kutazama mtatazama, lakini hamtaona.

Italian

e così si adempie per loro la profezia di isaia che dice: guarderete, ma non vedrete

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tafadhali tembelea blogu ya mkutano, ratiba,katika alama ishara ya twita, #gv2012, na pia kutazama video ifuatayo.

Italian

da seguire anche il blog del summit , il programma, l'hashtag su twitter #gv2012, i video di cui sotto.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waandamanaji pembezoni mwa mtaa wa consolação wanaweza kuonekana kwenye kipande cha filamu kilichopatikana kutoka kwenye kamera za ulinzi zinazomulika mtaa ya miji , na iliwezekana kutazama moja kwa moja maandamano katika mtaa wa consolação.

Italian

tramite le videocamere che monitorano la città è possibile vedere la manifestazione in ia della consolação.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kufuatia shambulizi hilo la kusikitisha, ushahidi wamekuja na zana mbili mahsusi kwa dharura . ushahidi kampuni ya teknolojia isiyoendeshwa kibiashara iliyobobea katika kutengeneza zana huru za bure kwa ajili ya kukusanya na kutazama habari pamoja na utengenezaji shirikishi wa michoro.

Italian

ushahidi è un'azienda tecnologica no-profit specializzata nello sviluppo di programmi open source gratuiti per la raccolta, la visualizzazione di informazioni e per la creazione di mappe interattive, il cui nome significa "testimonianza" in swahili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

katika maeneo ya vijijini ambapo asilimia 75 ya watu wanaishi, basi kutokuunganishwa bila shaka ni changamoto kubwa (kwa kuhusianisha na mtandao duni wa umeme na huduma ndogo na ghali za mikahawa ya mtandao wa intaneti), lakini hali hii inabadilika kwa kutazama upatikanaji na uhitaji, kwa kujumlisha ongezeko kubwa upatikanaji wa huduma rahisi za intaneti kwenye simu za viganjani na vijana wa kizazi kipya wanavutiwa na uunganishwaji unaopatikana kwenye vyombo vya habari vya kijamii.

Italian

nelle aree rurali, dove vive il 75% della popolazione, l'accesso alla rete è senza dubbio una grossa difficoltà (legata alla scarsa copertura elettrica e al ridotto numero degli internetcafè), ma questa situazione è in rapida evoluzione sia dal punto di vista dell'offerta che della domanda, con un sempre più economico accesso a internet tramite i cellulari e l'attrazione delle generazioni più giovani per la connettività offerta dal social media.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,787,546,128 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK