Results for laini translation from Swahili to Italian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

kuwa kwenye laini

Italian

online

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwambieni maneno laini, huenda akazingatia au akaogopa.

Italian

parlategli con dolcezza. forse ricorderà o temerà [allah]”.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi ni kwa sababu ya rehema itokayo kwa mwenyezi mungu ndio umekuwa laini kwao.

Italian

È per misericordia di allah che sei dolce nei loro confronti!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

juu yao zipo nguo za hariri laini za kijani kibichi, na hariri nzito ya at'ilasi.

Italian

indosseranno abiti verdi di seta finissima e broccato.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na ikiwa unajikurupusha nao, nawe unatafuta rehema ya mola wako mlezi unayo itaraji, basi sema nao maneno laini.

Italian

se volti loro le spalle [perché nulla hai da dare], pur sperando nella misericordia del tuo signore, di' loro una parola di bontà.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yeye ndiye aliye ifanya bahari ikutumikieni, ili kutokana na humo mpate kula nyama laini, na mtoe humo mapambo mnayo yavaa.

Italian

egli è colui che vi ha messo a disposizione il mare, affinché possiate mangiare pesce freschissimo e trarne gioielli con i quali vi adornate.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"kwa mtini jifunzeni mfano huu: mara tu matawi yake yanapoanza kuwa laini na kuchanua majani, mnajua kwamba wakati wa kiangazi umekaribia.

Italian

dal fico imparate questa parabola: quando gia il suo ramo si fa tenero e mette le foglie, voi sapete che l'estate è vicina

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mpeni salamu zangu ampliato mpendwa wangu katika bwana. salimuni urbano mfanyakazi mwenzetu katika kristo, na stako mpendwa wangu. salimuni apele, aliyekubaliwa katika kristo. salimuni wale wa nyumbani mwa aristobulo. salimuni herodioni aliye wa jamaa yangu. salimuni wale wa nyumbani mwa narkiso walio katika bwana. salimuni trifaina na trifosa, wanawake wanaofanya kazi kwa bidii katika bwana. salimuni persisi mpendwa wetu, kwa maana mwanamke huyo alifanya kazi nyingi katika bwana. salimuni rufo aliye mchaguliwa katika bwana, na mama yake na yangu. salimuni asinkrito, flegoni, hermesi, patroba, hermasi, na akina ndugu walio pamoja nao. salimuni filologo na yulia, nerea na dada yake, na olimpa, na watakatifu wote walio pamoja nao. salimianeni kwa busu takatifu. makutaniko yote ya kristo yanawasalimu ninyi. sasa nawahimiza ninyi, akina ndugu, waangalieni wale wanaosababisha migawanyiko na kusababisha kukwazika kinyume cha fundisho ambalo mmejifunza, nanyi mjiepushe nao. kwa maana watu wa namna hiyo ni watumwa, si wa bwana wetu kristo, bali wa matumbo yao wenyewe; na kwa maneno laini na maneno ya kusifusifu wao huishawishi mioyo ya wasio na lawama. kwa maana utii wenu umekuja kujulikana na wote. kwa hiyo nashangilia juu yenu. lakini nataka ninyi muwe wenye hekima kuhusu yaliyo mema, bali wasio na hatia kuhusu yaliyo maovu. kwa upande wake, mungu anayetoa amani atamponda shetani chini ya miguu yenu upesi. fadhili zisizostahiliwa za bwana wetu yesu na ziwe pamoja nanyi.

Italian

date i miei saluti ad ampliato, mio diletto nel signore. salutate urbano, nostro compagno d’opera in cristo, e il mio diletto stachi. salutate apelle, l’approvato in cristo. salutate quelli della casa di aristobulo. 11 salutate erodione mio parente. salutate quelli della casa di narcisso che sono nel signore. salutate trifena e trifosa, donne che hanno faticato nel signore. salutate perside, nostra diletta, poiché ha compiuto molte fatiche nel signore. salutate rufo, l’eletto nel signore, e la madre sua e mia. 14 salutate asincrito, flegonte, erme, patroba, erma e i fratelli che sono con loro. salutate filologo e giulia, nereo e sua sorella, e olimpa e tutti i santi che sono con loro. salutatevi gli uni gli altri con un santo bacio. tutte le congregazioni del cristo vi salutano. ora vi esorto, fratelli, a tenere d’occhio quelli che causano divisioni e occasioni d’inciampo contro l’insegnamento che avete imparato, ed evitateli. poiché gli uomini di quella sorta non sono schiavi del nostro signore cristo, ma del loro proprio ventre; e con discorso blando e parlar complimentoso seducono i cuori dei semplici. poiché la vostra ubbidienza è divenuta nota a tutti. perciò mi rallegro di voi. ma voglio che siate saggi in quanto a ciò che è bene, e innocenti in quanto a ciò che è male. da parte sua, l’iddio che dà pace stritolerà fra breve satana sotto i vostri piedi. l’immeritata benignità del nostro signore gesù sia con voi.

Last Update: 2013-03-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
8,920,047,211 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK