Results for nguvuni translation from Swahili to Italian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

kusherehekea kutiwa nguvuni kwa dikteta

Italian

i festeggiamenti per l'arresto del dittatore

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, hao watu wakamkamata yesu, wakamtia nguvuni.

Italian

essi gli misero addosso le mani e lo arrestarono

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

isipo kuwa wale walio tubu kabla hamjawatia nguvuni.

Italian

eccetto quelli che si pentono prima di cadere nelle vostre mani.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, wakawatia nguvuni, wakawafunga ndani ya gereza kuu.

Italian

e fatti arrestare gli apostoli li fecero gettare nella prigione pubblica

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi ya watu walitaka kumtia nguvuni lakini hakuna aliyejaribu kumkamata.

Italian

alcuni di loro volevano arrestarlo, ma nessuno gli mise le mani addosso

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@omamar1: walitutia nguvuni, na pia walimtia nguvuni kaka yangu.

Italian

@omamar1: ci hanno arrestate, hanno arrestato anche mio fratello.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

niliwatesa hata kuwaua wale watu waliofuata njia hii. niliwatia nguvuni wanaume kwa wanawake na kuwafunga gerezani.

Italian

io perseguitai a morte questa nuova dottrina, arrestando e gettando in prigione uomini e donne

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

makuhani wakuu na mafarisayo walikuwa wametoa amri kwamba mtu akijua mahali aliko yesu awaarifu kusudi wamtie nguvuni.

Italian

intanto i sommi sacerdoti e i farisei avevano dato ordine che chiunque sapesse dove si trovava lo denunziasse, perché essi potessero prenderlo

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, waliwatia nguvuni na kwa kuwa usiku ulikuwa umekaribia, wakawaweka chini ya ulinzi mpaka kesho yake.

Italian

li arrestarono e li portarono in prigione fino al giorno dopo, dato che era ormai sera

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

haukupita muda, walizingirwa na zaidi ya magari 30 ya polisi , na na kisha dereva wao kutiwa nguvuni na wote walizuiwa kuondoka.

Italian

sono state immediatamente circondate da circa 30 macchine della polizia, il loro autista è stato arrestato e loro sono state messe in stato di fermo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alisema maneno hayo kwenye chumba cha hazina alipokuwa anafundisha hekaluni. wala hakuna mtu aliyemtia nguvuni, kwa sababu saa yake ilikuwa haijafika bado.

Italian

queste parole gesù le pronunziò nel luogo del tesoro mentre insegnava nel tempio. e nessuno lo arrestò, perché non era ancora giunta la sua ora

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

matokeo yake ni kuwa, kwa kipindi cha siku mbili zilizopita, zaidi ya waandamanaji 140, wanawake kwa wanaume walitiwa nguvuni na maofisa wa polisi wa saudi arabia.

Italian

nonostante questo le famiglie dei detenuti hanno continuato, in questi due anni, a sfidare il divieto, organizzandosi in piccoli gruppi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapo awali herode mwenyewe alikuwa ameamuru yohane atiwe nguvuni, akamfunga gerezani. herode alifanya hivyo kwa sababu ya herodia ambaye herode alimwoa ingawaje alikuwa mke wa filipo, ndugu yake.

Italian

erode infatti aveva fatto arrestare giovanni e lo aveva messo in prigione a causa di erodìade, moglie di suo fratello filippo, che egli aveva sposata

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mkuu wa jeshi alimwendea paulo, akamtia nguvuni na kuamuru afungwe minyororo miwili. kisha akauliza, "ni mtu gani huyu, na amefanya nini?"

Italian

allora il tribuno si avvicinò, lo arrestò e ordinò che fosse legato con due catene; intanto s'informava chi fosse e che cosa avesse fatto

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha alieleza jinsi watoto wa rais huyo wa zamani nao walivyokamatwa na kutiwa kizuizini: rais aliyetimuliwa madarakani mohamed hosni mubarak na watoto wake alaa na gamal el-din wametiwa nguvuni na watakuwa gerezani kwa siku 15.

Italian

anche la blogger zeinobia ha dedicato all'argomento un post, intitolandolo semplicemente "a historical moment" (un momento storico) e aggiungendo successivamente i dettagli: l'ex presidente deposto muhammad hosni mubarak e i figli alaa e gamal el-din sono in custodia cautelare per 15 giorni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

‏@anthonypermal: @anthonypermal: imethibitika- polisi wa pakistani wamemtia nguvuni msichana wa kikristo wa miaka 11 kwa tuhuma za kukashifu dini.

Italian

secondo la commissione per i diritti umani del pakistan, i disordini di gojra erano stati premeditati e l'amministrazione locale era coinvolta.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu wote waliomsikia walishangaa, wakasema, "je, mtu huyu si yuleyule aliyewaua wale waliokuwa wanaomba kwa jina hili kule yerusalemu? tena alikuja hapa akiwa na madhumuni ya kuwatia nguvuni watu hao na kuwapeleka kwa makuhani!"

Italian

e tutti quelli che lo ascoltavano si meravigliavano e dicevano: «ma costui non è quel tale che a gerusalemme infieriva contro quelli che invocano questo nome ed era venuto qua precisamente per condurli in catene dai sommi sacerdoti?»

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,906,643,295 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK