From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mimi nimewapa utukufu uleule ulionipa mimi, ili wawe kitu kimoja kama nasi tulivyo mmoja;
e la gloria che tu hai dato a me, io l'ho data a loro, perché siano come noi una cosa sola
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
mimi nimewapa neno lako, nao ulimwengu ukawachukia, kwa sababu wao si wa ulimwengu kama vile nami nisivyo wa ulimwengu.
io ho dato a loro la tua parola e il mondo li ha odiati perché essi non sono del mondo, come io non sono del mondo
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
mimi nimewapa ule ujumbe ulionipa nao wameupokea; wanajua kwamba kweli nimetoka kwako, na wanaamini kwamba wewe ulinituma.
perché le parole che hai dato a me io le ho date a loro; essi le hanno accolte e sanno veramente che sono uscito da te e hanno creduto che tu mi hai mandato
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
mungu akaendelea kusema: “tazama nimewapa mimea yote inayozaa mbegu iliyo juu ya uso wa dunia yote na kila mti ambao una matunda ya mti unaozaa mbegu. na iwe chakula kwenu. na mimea yote ya majani nimetoa iwe chakula kwa kila mnyama-mwitu wa dunia na kila kiumbe kinachoruka cha mbinguni na kila kitu kinachotembea juu ya dunia ambacho ndani yake mna uhai ukiwa nafsi”. ikawa hivyo.
e dio proseguì, dicendo: “ecco, vi ho dato tutta la vegetazione che fa seme che è sulla superficie dell’intera terra e ogni albero sul quale è il frutto di un albero che fa seme.+ vi serva di cibo. e a ogni bestia selvaggia della terra e a ogni creatura volatile dei cieli e a ogni cosa che si muove sopra la terra in cui è vita come un’anima* ho dato tutta la verde vegetazione per cibo”. e così si fece.
Last Update: 2013-03-02
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: