Results for takribani translation from Swahili to Italian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

maandamano yalitawanywa kwa ukatili na polisi takribani nusu saa baada ya kuanza.

Italian

la protesta è stata dispersa violentemente dalla polizia neanche mezz'ora dopo il suo inizio.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

takribani mwanfrika mmoja kati ya wawili anaishi katika ufukara uliokithiri leo hii.

Italian

oggi, all'incirca un africano su due vive in condizioni di miseria estrema.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vile vile nimeishi uingereza kwa takribani miaka kumi na mitano (nikiondoka na kurudi).

Italian

ho vissuto anche in inghilterra per quasi 15 anni (più o meno).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hisham amekuwa mstari wa mbele kabisa katika ulimwengu wa kublogu nchini morocco kwa takribani miaka kumi.

Italian

hisham è stato una voce di primo piano nella blogosfera in marocco per quasi dieci anni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tumekuwa tukijihusisha na masuala ya afghanistan kwa takribani miaka 11 sasa, na imekuwa kawaida kuona picha za vita kutoka hapa.

Italian

siamo coinvolti in afghanistan da quasi 11 anni, ed è diventato comune vedere immagini della guerra che si svolge qui.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bilong, mwenye umri wa miaka 31, kutoka india na ana uzoefu wa kujenga nyumba aina ya bamboo kwa takribani miaka tisa.

Italian

bilong, 31 anni, viene dall'india e ha un'esperienza di sette anni nella costruzione di case di bambù.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ikiwa na takribani asilimia 15 ya idadi ya watu duniani, ni ajabu kabisa kwamba afrika inatumia asilimia 3 tu ya umeme unaozalishwa duniani.

Italian

per questo motivo e per la cattiva gestione delle risorse disponibili, l'africa, a livello mondiale, consuma paradossalmente solo il 3% della produzione di elettricità, pur rappresentando il 15% della popolazione.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maandamano yalianza mara baada ya mamlaka ya palestina kutangaza kuongeza bei za mafuta na petroli kwa takribani asilimia 8 katika ukanda wa magharibi, bei zitakazaoanza kutumika mwazoni mwa mwezi septemba.

Italian

le manifestazioni sono cominciate quando l'autorità palestinese ha annunciato che in cisgiordania, dall'inizio di settembre, ci sarebbe stato un aumento di circa l'8% per i prezzi di benzina e carburanti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kipande cha video kilichogharimu takribani kiasi cha dinari 250 za tunisia, karibu kiasi cha dola 250 za marekani, inawachora watu wa daraja la chini kabisa nchini tunisia na namna wanavyoendesha maisha yao.

Italian

il video clip, la cui produzione è costata solo 250 dinari (circa 150 dollari), mostra i residenti di un quartiere svantaggiato mentre affrontano la vita di ogni giorno.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa jinsi shauri hili lilivyo, serikali ya india ilipaswa haraka sana itangaze fidia ya lakhs 2 (takribani dola za kimarekani 3,367) kwa familia za wahanga.

Italian

per quanto riguarda questo caso, il governo indiano ha prontamente annunciato che darà un risarcimento di 2 lakhs (circa 2500 euro) ai familiari delle vittime.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ilikuwa ni taasisi ya utamaduni ya jiji la mexico ambayo kwa sasa ndiyo wizara ya utamaduni, ambayo ilitoa takribani vitabu 800 : "nilipowaita, kwa mara ya kwanza walifikiri ulikuwa wito rasmi.

Italian

É stato l'istituto culturale di città del messico, oggi ministero della cultura, a fornire circa 800 volumi al club: "quando li ho chiamati, in un primo momento pensarono fossi un ufficiale.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

alihesabu, makala 2,700 na kutambua miendelezo minne iliyokuwa ikiachiana zamu kwa takribani juma moja kila mmoja: “maandamano yafanyika”, “maandamano yaendelea”, “maandamano yasambaa”, na hivi majuzi, “sawa, imetosha sasa.”

Italian

ha registrato 2.700 articoli e identificato quattro correnti durate approssimativamente una settimana ciascuna: "la protesta inizia", "la protesta continua", "la protesta si allarga" e, di recente, "ok, adesso basta".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,944,435,693 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK