Results for tutaonana mapema translation from Swahili to Italian

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Italian

Info

Swahili

tutaonana mapema

Italian

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

tutaonana soon

Italian

ci vediamo domani

Last Update: 2022-12-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tunategemea harakati hizi kuisha mapema iwezekanavyo.

Italian

ci auguriamo che questa lotta finisca presto

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

yesu alipokuwa anarudi mjini asubuhi na mapema, aliona njaa.

Italian

la mattina dopo, mentre rientrava in città, ebbe fame

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

watu wote walikuwa wanakwenda hekaluni asubuhi na mapema, wapate kumsikiliza.

Italian

e tutto il popolo veniva a lui di buon mattino nel tempio per ascoltarlo

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tena, wanawake wengine wa kwetu wametushtua. walikwenda kaburini mapema asubuhi,

Italian

ma alcune donne, delle nostre, ci hanno sconvolti; recatesi al mattino al sepolcr

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

zunar, ambaye alikamatwa mapema mwezi huu, alishtakiwa kwa makosa tisa ya uchochezi.

Italian

zunar, arrestato ad inizio del mese, è stato rinviato a giudizio con nove accuse di sedizione.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mapema hati ya makubaliano ilisambazwa kupitia mtandao kuishinikiza serikali kumlinda rimsha asidhuriwe:

Italian

anthony permal, un cristiano pakistano che vive negli emirati arabi uniti, pone la vicenda all'attenzione degli utenti twitter:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kesho yake asubuhi na mapema alikwenda tena hekaluni. watu wote wakamwendea, naye akaketi akawa anawafundisha.

Italian

ma all'alba si recò di nuovo nel tempio e tutto il popolo andava da lui ed egli, sedutosi, li ammaestrava

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mapema, katika maeneo ya vijijini, wanafunzi wa kike waliacha masomo na kuishia kufanya kazi za majumbani.

Italian

prima, nelle aree rurali le ragazze abbandonavano la scuola e finivano per andare a lavorare come domestiche.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

bila shaka mpaka sasa tumeshakomaa vya kutosha kuelewa kwamba kwa kawaida ukweli hauji haraka hivyo, kwamba bado ni mapema mno.

Italian

ormai dovremmo sapere che la verità non si conosce subito e che ogni conclusione appare prematura.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ernest bazanye anatahadharisha kwamba pengine watu wasifanye haraka kuhukumu kwamba nani hasa alitega na kulipua mabomu hayo, bado ni mapema mno:

Italian

ernest bazanye mette in guardia contro la tendenza a raggiungere affrettate conclusioni su chi abbia piazzato quelle bombe:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

waliotangulia kutajwa walituhumiwa kwa kumuua polisi aliyekuwa aliyekuwa doria katika shamba la wanyama lijulikanalo kama centenario katika eneo la jumuia hiyo ya ercilla mapema mwezi augusti 2011.

Italian

questi ultimi sono stati accusati del tentato omicidio di un poliziotto di guardia al ranch centenaio, nel comune di ercilla, nell'agosto 2011.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo, mnamo jumatano ya tarehe 13 aprili, 2011, raia wa misri waliamka na mapema asubuhi ya siku hiyohiyo kukutana na habari zinazohusu mubaraka kutupwa kizuizini.

Italian

eppure, mercoledì 13 aprile 2011 l'egitto si è svegliato con la notizia del fermo di mubarak, avvenuto nelle prime ore del mattino.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mapema mwezi aprili, wabunge watatu toka katika kambi ya upinzani iitwayo “svoboda” waliandikisha mswada utakaozuia utoaji mimba nchini ukraine.

Italian

all'inizio di aprile, tre membri del parlamento appartenenti al partito all'opposizione “svoboda” hanno presentato un disegno di legge che vieterebbe gli aborti in ucraina.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wanaharakati wanaitaka serikali ya syria kumwachilia huru mara moja mfungwa ambaye ni mhandisi wa programu za kompyuta mwenye asili ya syria na palestina bassel khartabil, anayefahamika pia kama bassel safadi, baada ya kuhamishiwa kutoka kwenye gereza lake kwenda mahali pasipojulika mapema leo.

Italian

gli attivisti chiedono al governo siriano l'immediato rilascio del programmatore siro-palestinese bassel khartabil , conosciuto anche come bassel safadi, in seguito al suo trasferimento dal carcere di adra verso una destinazione ignota, avvenuto nelle prime ore del 3 ottobre 2015.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mitume walitii, wakaingia hekaluni asubuhi na mapema, wakaanza kufundisha. kuhani mkuu na wenzake walipofika, waliita mkutano wa baraza kuu, yaani halmashauri yote ya wazee wa wayahudi halafu wakawatuma watu gerezani wawalete wale mitume.

Italian

udito questo, entrarono nel tempio sul far del giorno e si misero a insegnare. quando arrivò il sommo sacerdote con quelli della sua parte, convocarono il sinedrio e tutti gli anziani dei figli d'israele; mandarono quindi a prelevare gli apostoli nella prigione

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

huko riyadh, kikundi cha wanawake, baadhi yao wakiwa ni miongoni mwa ndugu wa suliman al-roushodi, ambaye ni kiongozi wa jumuia ya haki za kisiasa na kiraia ya saudi arabia, walikusanyika mbele ya jengo la utaifa na haki za binadamu lenye ufadhili wa serikali, mahalipofanyia maandamano mapema mwezi februari .

Italian

a riyadh, un gruppo di donne, per la maggior parte parenti di suliman al-roushodi, responsabile dell' associazione saudita per i diritti civili e politici, si è riunito davanti agli uffici della società nazionale per i diritti umani, fondata dal governo, dove aveva già protestato lo scorso febbraio.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,787,499,998 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK