Results for vilevile translation from Swahili to Italian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

vilevile mose aliinyunyizia damu ile hema na vyombo vya ibada.

Italian

alla stessa maniera asperse con il sangue anche la tenda e tutti gli arredi del culto

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

chaguzi hizi hufanya nijisikie vibaya vilevile kwa kiasi nilichokieleza hapo juu.

Italian

queste elezioni mi hanno fatto sentire la stessa quantità di orrore di queste situazioni descritte prima.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtu mmoja aitwaye anania na mkewe safira waliuza shamba lao vilevile.

Italian

un uomo di nome anania con la moglie saffira vendette un suo poder

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walikuwa pia na visamaki vichache. yesu akavibariki, akaamuru vigawiwe watu vilevile.

Italian

avevano anche pochi pesciolini; dopo aver pronunziata la benedizione su di essi, disse di distribuire anche quelli

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vilevile katika kila eneo ninagundua msamiati mpya unaohusiana na bahari au nchi au mifugo au mapinduzi.

Italian

in ogni luogo ho anche scoperto un nuovo tipo vocabolario, che ha a che fare con il mare o la terra, il bestiame o la rivoluzione.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vita ni jinamizi la kweli, lakini bahati mbaya vilevile ndivyo ulivyo udikteta na gereza.

Italian

la guerra è un vero mostro, così come disgraziatamente la dittatura e il carcere.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na ndugu wa tatu vilevile. mambo yakawa yaleyale kwa wote saba--wote walikufa bila kuacha watoto.

Italian

e poi il terzo e così tutti e sette; e morirono tutti senza lasciare figli

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vilevile maandishi haya yalikuwa yameandikwa na kuwekwa juu yake: "huyu ndiye mfalme wa wayahudi."

Italian

c'era anche una scritta, sopra il suo capo: questi è il re dei giudei

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

walimu walikichukulia kitendo hicho kama adhabu kufuatia hatua yao ya kugoma kudai haki zao na vilevile kupuuzwa kwa sheria za utumishi wa umma nchini mauritania.

Italian

gli insegnanti hanno inteso questo atto come una punizione per aver partecipato allo sciopero per rivendicare i loro diritti ed anche una violazione della legge sul servizio civile in mauritania.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mambo makubwa aliyofanya nelson mandela yanapita welewa wa binadamu wengi, maana amefanya mambo mengi kwa ajili ya viumbe pori na mazingira vilevile.

Italian

le cose incredibili compiute da nelson mandela vanno al di là di quanto possa fare un essere umano, poiché si è dedicato anche alla natura e all'ambiente.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

fiadeiro vilevile huchora madhari kwa kuyatazama, hujaza blogu yake ya michoro nchini mauritania na picha za maisha ya kila siku katika taifa hilo la afrika magharibi.

Italian

fiadeiro inoltre crea dei bozzetti dal vivo, riempendo il suo blog, disegnando in mauritania , con le immagini di vita quotidiana dell' africa occidentale.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

unaweza kusoma nakala iliyo katika muundo wa simulizi ya habari hii kupitia boing boing, na vilevile seti kamili ta twita & miitiko kupitia doha news.

Italian

un racconto di questa vicenda lo si può trovare su boing boing.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

tunajua vilevile kwamba kufuatana na sheria, wana wa lawi ambao ni makuhani, wanayo haki ya kuchukua sehemu ya kumi kutoka kwa watu, yaani ndugu zao, ingawaje nao ni watoto wa abrahamu.

Italian

in verità anche quelli dei figli di levi, che assumono il sacerdozio, hanno il mandato di riscuotere, secondo la legge, la decima dal popolo, cioè dai loro fratelli, essi pure discendenti da abramo

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninyi hutazama mambo kwa nje tu. je, yupo mtu yeyote anayedhani kwamba yeye ni wa kristo? sawa! basi, afikirie vilevile kwamba sisi pia ni wa kristo kama yeye alivyo wa kristo.

Italian

guardate le cose bene in faccia: se qualcuno ha in se stesso la persuasione di appartenere a cristo, si ricordi che se lui è di cristo lo siamo anche noi

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nchini italia, halmashauri ya jiji la firenze, kwa kushirikiana na jukwaa la mandela, wameandaa onyesho la picha za video kuhusu mandela, sinema na siku ya mandela, vyote hivyo vitarushwa katika jukwaa la mandela na vilevile katika eneo la wazi la kuonyeshea sinema la florence.

Italian

in italia, il consiglio comunale di firenze, in collaborazione con il mandela forum, ha realizzato un video su mandela, che verrà trasmesso insieme al film invictus al mandela forum e nei cinema all'aperto di firenze.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,884,418,409 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK