Results for wakarimu translation from Swahili to Italian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Italian

Info

Swahili

naweza kushuhudia kwamba walikuwa wakarimu kadiri ya nguvu zao na hata zaidi. kwa hiari yao wenyewe,

Italian

posso testimoniare infatti che hanno dato secondo i loro mezzi e anche al di là dei loro mezzi, spontaneamente

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waamuru watende mema, wawe matajiri katika matendo mema, na wawe wakarimu na walio tayari kuwashirikisha wengine mali zao.

Italian

di fare del bene, di arricchirsi di opere buone, di essere pronti a dare, di essere generosi

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waumini wa huko walijaribiwa sana kwa taabu; lakini furaha yao ilikuwa kubwa hivi hata wakawa wakarimu kupita kiasi, ingawaje walikuwa maskini sana.

Italian

nonostante la lunga prova della tribolazione, la loro grande gioia e la loro estrema povertà si sono tramutate nella ricchezza della loro generosità

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninyi mna kila kitu: imani, uwezo wa kusema, elimu; bidii yote ya kutenda mema, na upendo wenu kwetu. hivyo, tunatazamia muwe wakarimu katika huduma hii ya upendo.

Italian

e come vi segnalate in ogni cosa, nella fede, nella parola, nella scienza, in ogni zelo e nella carità che vi abbiamo insegnato, così distinguetevi anche in quest'opera generosa

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,875,849,747 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK