Results for zilianguka translation from Swahili to Japanese

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Japanese

Info

Swahili

nyingine zilianguka kwenye miti ya miiba, nayo ikakua na kuzisonga.

Japanese

ほかの種はいばらの地に落ちた。すると、いばらが伸びて、ふさいでしまった。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alipokuwa akipanda, nyingine zilianguka njiani, ndege wakaja wakazila.

Japanese

まいているうちに、道ばたに落ちた種があった。すると、鳥がきて食べてしまった。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 2
Quality:

Swahili

nyingine zilianguka penye mawe, na baada ya kuota zikanyauka kwa kukosa maji.

Japanese

ほかの種は岩の上に落ち、はえはしたが水気がないので枯れてしまった。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa imani kuta za mji wa yeriko zilianguka watu wa israeli walipokwisha zunguka kwa muda wa siku saba.

Japanese

信仰によって、エリコの城壁は、七日にわたってまわったために、くずれおちた。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nyingine zilianguka penye mawe pasipokuwa na udongo mwingi. zikaota mara kwa kuwa udongo haukuwa na kina.

Japanese

ほかの種は土の薄い石地に落ちた。そこは土が深くないので、すぐ芽を出したが、

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nyingine zilianguka penye mawe pasipokuwa na udongo mwingi. mbegu hizo ziliota mara kwa kuwa udongo haukuwa na kina.

Japanese

ほかの種は土の薄い石地に落ちた。そこは土が深くないので、すぐ芽を出したが、

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu wengine ni kama wale walio njiani ambapo mbegu zilianguka. hawa hulisikia hilo neno lakini mara shetani huja na kuliondoa neno hilo lililopandwa ndani yao.

Japanese

道ばたに御言がまかれたとは、こういう人たちのことである。すなわち、御言を聞くと、すぐにサタンがきて、彼らの中にまかれた御言を、奪って行くのである。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nyingine zilianguka katika udongo mzuri, zikakua na kuzaa: moja punje thelathini, moja sitini na nyingine mia."

Japanese

ほかの種は良い地に落ちた。そしてはえて、育って、ますます実を結び、三十倍、六十倍、百倍にもなった」。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini nyingine zilianguka penye udongo mzuri, zikaota, zikazaa: nyingine punje mia moja, nyingine sitini na nyingine thelathini.

Japanese

ほかの種は良い地に落ちて実を結び、あるものは百倍、あるものは六十倍、あるものは三十倍にもなった。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"mpanzi alikwenda kupanda mbegu zake. alipokuwa akipanda zile mbegu, nyingine zilianguka njiani, na wapita njia wakazikanyaga, na ndege wakazila.

Japanese

「種まきが種をまきに出て行った。まいているうちに、ある種は道ばたに落ち、踏みつけられ、そして空の鳥に食べられてしまった。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

nyingine zilianguka katika udongo mzuri, zikaota na kuzaa asilimia mia." baada ya kusema hayo, akapaaza sauti, akasema, "mwenye masikio na asikie!"

Japanese

ところが、ほかの種は良い地に落ちたので、はえ育って百倍もの実を結んだ」。こう語られたのち、声をあげて「聞く耳のある者は聞くがよい」と言われた。

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,647,204,037 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK