Results for mchanga translation from Swahili to Korean

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Korean

Info

Swahili

mchanga

Korean

모래

Last Update: 2014-10-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

siku ambayo ardhi itatikiswa na milima pia, na milima itakuwa kama tifutifu la mchanga!

Korean

대지와 산들이 크게 동요하 는 그날 산들은 모래 산더미가 되 어 흘러 내리니라

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

na wakasema walio kufuru: tutapo kuwa mchanga, sisi na baba zetu, hivyo kweli tutakuja tolewa?

Korean

불신자들이 말하길 우리와 우리의 선조들이 흙이 된 후 다시 부활 된단 말이뇨

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

nilipokuwa mtoto mchanga nilisema kitoto, nilifahamu kitoto, nilifikiri kitoto. lakini sasa, maadam mimi ni mtu mzima, mambo ya kitoto nimeyaacha.

Korean

내 가 어 렸 을 때 에 는 말 하 는 것 이 어 린 아 이 와 같 고 깨 닫 는 것 이 어 린 아 이 와 같 고 생 각 하 는 것 이 어 린 아 이 와 같 다 가 장 성 한 사 람 이 되 어 서 는 어 린 아 이 의 일 을 버 렸 노

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

na kama ukistaajabu, basi cha ajabu zaidi ni huo usemi wao: ati tukisha kuwa mchanga kweli tutakuwa katika umbo jipya? hao ndio walio mkufuru mola wao mlezi.

Korean

그대가 놀랄 것이 있다면 놀라울 것은 우리가 흙이 되었을 때실로 우리가 새로히 창조될까 라 고 말하는 그들의 얘기라 그들은 주님을 불신한 자들로 그들의 목 에 멍에가 채워져 불지옥의 주인 들이 되어 그곳에서 영원히 사는 자들이라

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

naye nabii isaya, kuhusu israeli anapaaza sauti: "hata kama watoto wa israeli ni wengi kama mchanga wa pwani, ni wachache tu watakaookolewa;

Korean

또 이 사 야 가 이 스 라 엘 에 관 하 여 외 치 되 이 스 라 엘 뭇 자 손 의 수 가 비 록 바 다 의 모 래 같 을 지 라 도 남 은 자 만 구 원 을 얻 으 리

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na mtaje ndugu wa kina a'di, alipo waonya watu wake kwenye vilima vya mchanga. na kwa yakini waonyaji wengi walitokea kabla yake na baada yake kuwaambia: msimuabudu isipo kuwa mwenyezi mungu.

Korean

아드의 한 형제 후드를 상기하라 그는 굴곡진 모래 언덕에 거주했던 백성에게 경고했노라 그의 이전에도 그리고 후에도 그곳 에 경고자는 있었노라 하나님 외 에 다른 것을 섬기지 말라 실로 나는 위대한 어느날 너희에게 있 는 응벌이 두려울 뿐이라

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

msikaribie sala, hali mmelewa, mpaka myajue mnayo yasema, wala hali mna janaba - isipo kuwa mmo safarini - mpaka mkoge. na mkiwa wagonjwa, au mmo safarini, au mmoja wenu ametoka chooni, au mmewagusa wanawake - na msipate maji, basi ukusudieni mchanga safi, mpake nyuso zenu na mikono yenu.

Korean

믿는 신앙인들이여 술에 취 하여 예배하지 말라 너희가 무엇 을 말하고 있는지 알때까지라 불 결해서도 아니되나 여행자는 제외라 너희가 아프거나 여행중일때 화장실에서 돌아왔을때 여성을 만졌을때 물을 발견치 못했을 때는 깨끗한 흙위에 따얌뭄을 하고 너 희 얼굴과 양손을 문질러 깨끗이 하라 실로 하나님은 사랑과 용서 로 충만하시니라

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,786,520,781 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK