From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
tumsifu yesu kristo milele amina
praise jesus christ forever amen
Last Update: 2022-04-01
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwake uwe uwezo milele! amina.
ipsi imperium in saecula saeculorum ame
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwake yeye uwe utukufu milele! amina.
cui est gloria in saecula saeculorum ame
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mungu aliye chanzo cha amani na awe nanyi nyote! amina!
deus autem pacis sit cum omnibus vobis ame
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
na vile viumbe vinne hai vikasema, "amina!" na wale wazee wakaanguka kifudifudi, wakaabudu.
et quattuor animalia dicebant amen et seniores ceciderunt et adoraverun
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kwake mungu uwe utukufu katika kanisa na katika kristo yesu, nyakati zote, milele na milele! amina.
ipsi gloria in ecclesia et in christo iesu in omnes generationes saeculi saeculorum ame
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
kwa maana vitu vyote vyatoka kwake, vyote vipo kwa uwezo wake na kwa ajili yake. utukufu na uwe kwake hata milele! amina.
quoniam ex ipso et per ipsum et in ipso omnia ipsi gloria in saecula ame
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bwana ataniokoa na mambo yote maovu, na kunichukua salama mpaka katika utawala wake wa mbinguni. kwake uwe utukufu milele na milele! amina.
liberabit me dominus ab omni opere malo et salvum faciet in regnum suum caeleste cui gloria in saecula saeculorum ame
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
akatufanya sisi kuwa ufalme wa makuhani, tumtumikie mungu, baba yake. kwake yesu kristo uwe utukufu na nguvu, milele na milele! amina.
et fecit nostrum regnum sacerdotes deo et patri suo ipsi gloria et imperium in saecula saeculorum ame
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wao ni wajukuu wa mababu, naye kristo, kadiri ya ubinadamu wake, ametoka katika ukoo wao. mungu atawalaye juu ya yote, na atukuzwe milele! amina.
quorum patres et ex quibus christus secundum carnem qui est super omnia deus benedictus in saecula ame
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mungu wa amani awakamilishe katika kila tendo jema ili mtekeleze mapenzi yake; yeye na afanye ndani yetu kwa njia ya kristo yale yanayompendeza mwenyewe. utukufu uwe kwake, milele na milele! amina.
aptet vos in omni bono ut faciatis voluntatem eius faciens in vobis quod placeat coram se per iesum christum cui gloria in saecula saeculorum ame
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maana ndani yake ahadi zote za mungu zimekuwa "ndiyo". kwa sababu hiyo, "amina" yetu husemwa kwa njia ya kristo kwa ajili ya kumtukuza mungu.
quotquot enim promissiones dei sunt in illo est ideo et per ipsum amen deo ad gloriam nostra
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting