Results for jehanamu translation from Swahili to Latin

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latin

Info

Swahili

enyi kizazi cha nyoka wenye sumu! mnawezaje kuiepa hukumu ya moto wa jehanamu?

Latin

serpentes genimina viperarum quomodo fugietis a iudicio gehenna

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

malaika walipotenda dhambi, mungu hakuwahurumia, bali aliwatupa katika moto wa jehanamu ambako wamefungwa wakingojea siku ile ya hukumu.

Latin

si enim deus angelis peccantibus non pepercit sed rudentibus inferni detractos in tartarum tradidit in iudicium cruciatos reservar

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

msiwaogope wale wauao mwili, lakini hawawezi kuiua roho. afadhali zaidi kumwogopa yule awezaye kuuangamiza mwili pamoja na roho katika moto wa jehanamu.

Latin

et nolite timere eos qui occidunt corpus animam autem non possunt occidere sed potius eum timete qui potest et animam et corpus perdere in gehenna

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mkono wako ukikukosesha, ukate! afadhali kuingia kwenye uzima bila mkono mmoja, kuliko kuwa na mikono miwili na kwenda katika moto wa jehanamu.

Latin

ubi vermis eorum non moritur et ignis non extinguitu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nitawaonyesheni yule ambaye ni lazima kumwogopa: mwogopeni yule ambaye baada ya kuua ana uwezo wa kumtupa mtu katika moto wa jehanamu. naam, ninawaambieni, mwogopeni huyo.

Latin

ostendam autem vobis quem timeatis timete eum qui postquam occiderit habet potestatem mittere in gehennam ita dico vobis hunc timet

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kama jicho lako likikukosesha, ling'oe na kulitupa mbali nawe. ni afadhali kwako kuingia katika uzima ukiwa chongo, kuliko kutupwa katika moto wa jehanamu ukiwa na macho yako yote mawili.

Latin

et si oculus tuus scandalizat te erue eum et proice abs te bonum tibi est unoculum in vitam intrare quam duos oculos habentem mitti in gehennam igni

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, kama jicho lako la kulia linakukosesha, ling'oe ukalitupe mbali. afadhali zaidi kwako kupoteza kiungo kimoja cha mwili wako, kuliko mwili wako wote kutupwa katika moto wa jehanamu.

Latin

quod si oculus tuus dexter scandalizat te erue eum et proice abs te expedit enim tibi ut pereat unum membrorum tuorum quam totum corpus tuum mittatur in gehenna

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"ole wenu walimu wa sheria na mafarisayo, wanafiki! mnasafiri baharini na nchi kavu ili kumpata mtu mmoja afuate dini yenu. mnapompata, mnamfanya astahili maradufu kwenda katika moto wa jehanamu kuliko ninyi wenyewe.

Latin

vae vobis scribae et pharisaei hypocritae quia circuitis mare et aridam ut faciatis unum proselytum et cum fuerit factus facitis eum filium gehennae duplo quam vo

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,884,436,996 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK