From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
basi, sisi hatumo miongoni mwa wale wanaorudi nyuma na kupotea, ila sisi tunaamini na tunaokolewa.
nos autem non sumus subtractionis in perditionem sed fidei in adquisitionem anima
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
na kutumia udanganyifu wa kila namna kwa wale walio katika mkumbo wa kupotea. hao watapotea kwa sababu hawakuupokea na kuupenda ule ukweli ili waokolewe.
et in omni seductione iniquitatis his qui pereunt eo quod caritatem veritatis non receperunt ut salvi fieren
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
maana ujumbe kuhusu kifo cha kristo msalabani ni jambo la kipumbavu kwa wale walio katika mkumbo wa kupotea, lakini kwetu sisi tulio katika njia ya wokovu ujumbe huo ni nguvu ya mungu.
verbum enim crucis pereuntibus quidem stultitia est his autem qui salvi fiunt id est nobis virtus dei es
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
nilipokuwa nao, mimi niliwaweka salama kwa nguvu ya jina lako ulilonipa. mimi nimewalinda, wala hakuna hata mmoja wao aliyepotea, isipokuwa yule aliyelazimika kupotea ili maandiko matakatifu yapate kutimia.
cum essem cum eis ego servabam eos in nomine tuo quos dedisti mihi custodivi et nemo ex his perivit nisi filius perditionis ut scriptura impleatu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
kama ukimhuzunisha ndugu yako kwa sababu ya chakula unachokula, basi mwenendo wako hauongozwi na mapendo. usikubali hata kidogo chakula chako kiwe sababu ya kupotea kwa mtu mwingine ambaye kristo alikufa kwa ajili yake!
si enim propter cibum frater tuus contristatur iam non secundum caritatem ambulas noli cibo tuo illum perdere pro quo christus mortuus es
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: