Results for matakatifu translation from Swahili to Latin

Swahili

Translate

matakatifu

Translate

Latin

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latin

Info

Swahili

kisha, akaziangazia akili zao ili wapate kuelewa maandiko matakatifu.

Latin

tunc aperuit illis sensum ut intellegerent scriptura

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini yatatimiaje maandiko matakatifu yasemayo kwamba ndivyo inavyopaswa kuwa?"

Latin

quomodo ergo implebuntur scripturae quia sic oportet fier

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

akawafafanulia mambo yote yaliyomhusu yeye katika maandiko matakatifu kuanzia mose hadi manabii wote.

Latin

et incipiens a mose et omnibus prophetis interpretabatur illis in omnibus scripturis quae de ipso eran

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jambo hili ni sawa kabisa na maneno ya manabii, kama maandiko matakatifu yasemavyo:

Latin

et huic concordant verba prophetarum sicut scriptum es

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama maandiko matakatifu yasemavyo: "yakobo nilimpenda, lakini esau nilimchukia."

Latin

sicut scriptum est iacob dilexi esau autem odio habu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

paulo alijiunga nao kama ilivyokuwa desturi yake akajadiliana nao sabato tatu mfululizo, akatumia maandiko matakatifu.

Latin

secundum consuetudinem autem paulus introivit ad eos et per sabbata tria disserebat eis de scripturi

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

(walikuwa bado hawajaelewa maandiko matakatifu yaliyosema kwamba ilikuwa lazima afufuke kutoka wafu).

Latin

nondum enim sciebant scripturam quia oportet eum a mortuis resurger

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mungu aliwaita miungu wale waliopewa neno lake; nasi twajua kwamba maandiko matakatifu yasema ukweli daima.

Latin

si illos dixit deos ad quos sermo dei factus est et non potest solvi scriptur

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tumia wakati wako na juhudi yako katika kusoma hadharani maandiko matakatifu, kuhubiri na kufundisha, mpaka nitakapokuja.

Latin

dum venio adtende lectioni exhortationi doctrina

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana yote yalioandikwa yameandikwa kwa ajili ya kutufundisha sisi ili kutokana na saburi na faraja tupewayo na maandiko hayo matakatifu tupate kuwa na matumaini.

Latin

quaecumque enim scripta sunt ad nostram doctrinam scripta sunt ut per patientiam et consolationem scripturarum spem habeamu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu akawajibu, "je, hamkusoma katika maandiko matakatifu kwamba mungu aliyemuumba mtu tangu mwanzo alimfanya mwanamume na mwanamke,

Latin

qui respondens ait eis non legistis quia qui fecit ab initio masculum et feminam fecit eo

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mimi niliwakabidhi ninyi mambo muhimu sana ambayo mimi niliyapokea: kwamba kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu kufuatana na maandiko matakatifu;

Latin

tradidi enim vobis in primis quod et accepi quoniam christus mortuus est pro peccatis nostris secundum scriptura

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

myahudi mmoja aitwaye apolo, mzaliwa wa aleksandria, alifika efeso. alikuwa mtu mwenye ufasaha wa kuongea na mwenye ujuzi mkubwa wa maandiko matakatifu.

Latin

iudaeus autem quidam apollo nomine alexandrinus natione vir eloquens devenit ephesum potens in scripturi

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na watu watahubirije kama hawakutumwa? kama yasemavyo maandiko matakatifu: "ni jambo la kupendeza mno kuja kwa wale wanaohubiri habari njema!"

Latin

quomodo vero praedicabunt nisi mittantur sicut scriptum est quam speciosi pedes evangelizantium pacem evangelizantium bon

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

maandiko matakatifu yesema hivi, "ujumbe huo wa mungu uko karibu nawe, uko kinywani mwako na moyoni mwako" nao ndio ile imani tunayoihubiri.

Latin

sed quid dicit prope est verbum in ore tuo et in corde tuo hoc est verbum fidei quod praedicamu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, yesu alikwenda nazareti, mahali alipolelewa, na siku ya sabato, aliingia katika sunagogi, kama ilivyokuwa desturi yake. akasimama ili asome maandiko matakatifu kwa sauti.

Latin

et venit nazareth ubi erat nutritus et intravit secundum consuetudinem suam die sabbati in synagogam et surrexit leger

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama mnaitimiza ile sheria ya utawala kama ilivyoandikwa katika maandiko matakatifu: "mpende binadamu mwenzako kama unavyojipenda wewe mwenyewe", mtakuwa mnafanya vema kabisa.

Latin

si tamen legem perficitis regalem secundum scripturas diliges proximum tuum sicut te ipsum bene faciti

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini, kwamba kuna kufufuka kutoka wafu, hata mose alithibitisha jambo hilo katika maandiko matakatifu. katika sehemu ya maandiko matakatifu juu ya kile kichaka kilichokuwa kinawaka moto, anamtaja bwana kama mungu wa abrahamu, isaka na yakobo.

Latin

quia vero resurgant mortui et moses ostendit secus rubum sicut dicit dominum deum abraham et deum isaac et deum iaco

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kadhalika nanyi vijana mnapaswa kujiweka chini ya mamlaka ya wazee. ninyi nyote mnapaswa kuwa na unyenyekevu mpate kutumikiana; maana maandiko matakatifu yasema: "mungu huwapinga wenye majivuno, lakini huwajalia neema wanyenyekevu."

Latin

similiter adulescentes subditi estote senioribus omnes autem invicem humilitatem insinuate quia deus superbis resistit humilibus autem dat gratia

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,952,907,437 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK