Results for mchumba translation from Swahili to Latin

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latin

Info

Swahili

alikwenda kujiandikisha pamoja na mchumba wake maria ambaye alikuwa mja mzito.

Latin

ut profiteretur cum maria desponsata sibi uxore praegnat

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa msichana mmoja aitwaye maria, mchumba wa mtu mmoja jina lake yosefu, wa ukoo wa daudi.

Latin

ad virginem desponsatam viro cui nomen erat ioseph de domo david et nomen virginis mari

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa maneno mengine: yule anayeamua kumwoa huyo mchumba wake anafanya vema; naye anayeamua kutomwoa anafanya vema zaidi.

Latin

igitur et qui matrimonio iungit virginem suam bene facit et qui non iungit melius faci

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama mtu anaona kwamba hamtendei vyema mchumba wake asipomwoa, na kama tamaa zake zinamshinda, na afanye atakavyo; waoane tu; hatakuwa ametenda dhambi.

Latin

si quis autem turpem se videri existimat super virgine sua quod sit superadulta et ita oportet fieri quod vult faciat non peccat nuba

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,899,003,860 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK