Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
badala yake, kweli imekuwa mtindo ndugu kumpeleka ndugu yake mahakamani, tena mbele ya mahakimu wasioamini.
sed frater cum fratre iudicio contendit et hoc apud infidele
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
maana hawakufahamu jinsi mungu anavyowafanya watu wawe waadilifu, na wamejaribu kuanzisha mtindo wao wenyewe, na hivyo hawakuikubali njia hiyo ya mungu ya kuwafanya wawe waadilifu.
ignorantes enim dei iustitiam et suam quaerentes statuere iustitiae dei non sunt subiect
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
wakati ule mliishi kufuatana na mtindo mbaya wa ulimwengu huu, mkawa mnamtii mtawala wa pepo wenye nguvu wa anga, pepo ambao huwatawala sasa watu wasiomtii mungu.
in quibus aliquando ambulastis secundum saeculum mundi huius secundum principem potestatis aeris huius spiritus qui nunc operatur in filios diffidentia
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
maana bado mu watu wa kidunia. je, si kweli kwamba bado uko wivu na magombano kati yenu? mambo hayo yanaonyesha wazi kwamba ninyi bado ni watu wa kidunia, mnaishi mtindo wa kidunia.
cum enim sit inter vos zelus et contentio nonne carnales estis et secundum hominem ambulati
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: