Results for nifanye translation from Swahili to Latin

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Latin

Info

Swahili

nifanye

Latin

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latin

Info

Swahili

mimi nimekutukuza hapa duniani; nimeikamilisha ile kazi uliyonipa nifanye.

Latin

ego te clarificavi super terram opus consummavi quod dedisti mihi ut facia

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sistahili hata kuitwa mwanao. nifanye kama mmoja wa wafanyakazi wako.

Latin

et iam non sum dignus vocari filius tuus fac me sicut unum de mercennariis tui

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

halafu aliwaongoza nje, akawauliza, "waheshimiwa, nifanye nini nipate kuokoka?"

Latin

et producens eos foras ait domini quid me oportet facere ut salvus fia

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

pilato akawauliza tena, "basi, sasa mwataka nifanye nini na mtu huyu mnayemwita mfalme wa wayahudi?"

Latin

pilatus autem iterum respondens ait illis quid ergo vultis faciam regi iudaeoru

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

huyo kijana akamwambia, "hayo yote nimeyazingatia tangu utoto wangu; sasa nifanye nini zaidi?"

Latin

dicit illi adulescens omnia haec custodivi quid adhuc mihi dees

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mtu mmoja alimjia yesu, akamwuliza, "mwalimu, nifanye kitu gani chema ili niupate uzima wa milele?"

Latin

et ecce unus accedens ait illi magister bone quid boni faciam ut habeam vitam aeterna

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

baadaye mwalimu mmoja wa sheria alisimama akamwuliza akitaka kumtega, "mwalimu, nifanye nini ili nipate uzima wa milele?"

Latin

et ecce quidam legis peritus surrexit temptans illum et dicens magister quid faciendo vitam aeternam possideb

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kiongozi mmoja, myahudi, alimwuliza yesu, "mwalimu mwema, nifanye nini ili niweze kuupata uzima wa milele?"

Latin

et interrogavit eum quidam princeps dicens magister bone quid faciens vitam aeternam possideb

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

nifanye nini, basi? nitasali kwa roho yangu, nitasali pia kwa akili yangu; nitaimba kwa roho yangu, nitaimba pia kwa akili yangu.

Latin

quid ergo est orabo spiritu orabo et mente psallam spiritu psallam et ment

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, mimi nikauliza: nifanye nini bwana? naye bwana akaniambia: simama, nenda damasko na huko utaambiwa yote ambayo umepangiwa kufanya.

Latin

et dixi quid faciam domine dominus autem dixit ad me surgens vade damascum et ibi tibi dicetur de omnibus quae te oporteat facer

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakuna mtu anayeninyang'anya uhai wangu; mimi na nautoa kwa hiari yangu mwenyewe. ninao uwezo wa kuutoa na uwezo wa kuuchukua tena. hivi ndivyo baba alivyoniamuru nifanye."

Latin

nemo tollit eam a me sed ego pono eam a me ipso potestatem habeo ponendi eam et potestatem habeo iterum sumendi eam hoc mandatum accepi a patre me

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,774,196,947 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK