From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwa hiyo, tukiwa bado na wakati, tuwatendee watu wote mema, na hasa ndugu wa imani yetu.
ergo dum tempus habemus operemur bonum ad omnes maxime autem ad domesticos fide
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
tukiwa tunangojea siku ile ya heri tunayoitumainia, wakati utakapotokea utukufu wa mungu mkuu na mwokozi wetu yesu kristo.
expectantes beatam spem et adventum gloriae magni dei et salvatoris nostri iesu christ
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, tukiwa wafanyakazi pamoja na mungu, tunawasihi msikubali ile neema mliyopokea kutoka kwa mungu ipotee bure.
adiuvantes autem et exhortamur ne in vacuum gratiam dei recipiati
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
maana hatujitangazi sisi wenyewe, ila tunamhubiri yesu kristo aliye bwana, sisi wenyewe tukiwa watumishi wenu kwa ajili ya yesu.
non enim nosmet ipsos praedicamus sed iesum christum dominum nos autem servos vestros per iesu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
mara baada ya paulo kuona ono hilo, tulijitayarisha kwenda makedonia bila kukawia, tukiwa na hakika kwamba mungu ametuita tuwapelekee habari njema.
ut autem visum vidit statim quaesivimus proficisci in macedoniam certi facti quia vocasset nos deus evangelizare ei
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
ingawa sisi tukiwa mitume wa kristo, tungeweza kudai mambo fulani kwenu. lakini sisi tulikuwa wapole kati yenu kama alivyo mama kwa watoto wake.
cum possimus oneri esse ut christi apostoli sed facti sumus lenes in medio vestrum tamquam si nutrix foveat filios suo
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
sisi si kama wengine ambao hufanya biashara na ujumbe wa mungu; sisi tunahubiri kwa unyofu mbele ya mungu, kama watu tuliotumwa na mungu, tukiwa tumeungana na kristo.
non enim sumus sicut plurimi adulterantes verbum dei sed ex sinceritate sed sicut ex deo coram deo in christo loquimu
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, wapenzi wangu, tukiwa tumepewa ahadi hizi zote, na tujitakase na chochote kiwezacho kuchafua miili na roho zetu, tuwe watakatifu kabisa, na tuishi kwa kumcha mungu.
has igitur habentes promissiones carissimi mundemus nos ab omni inquinamento carnis et spiritus perficientes sanctificationem in timore de
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
tukiwa bado katika hema hii ya duniani, tunalia kwa kukandamizwa; si kwamba tunataka kuuvua mwili huu wa kufa, ila tuna hamu ya kuvalishwa ule usiokufa, ili kile chenye kufa kimezwe kabisa na uhai.
nam et qui sumus in tabernaculo ingemescimus gravati eo quod nolumus expoliari sed supervestiri ut absorbeatur quod mortale est a vit
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
maana wakati tulipowahubirieni ile habari njema haikuwa kwa maneno tu, bali pia kwa nguvu na kwa roho mtakatifu, tukiwa na hakika kwamba ujumbe huo ulikuwa wa kweli. mnajua jinsi tulivyoishi pamoja nanyi; tuliishi kwa manufaa yenu.
quia evangelium nostrum non fuit ad vos in sermone tantum sed et in virtute et in spiritu sancto et in plenitudine multa sicut scitis quales fuerimus vobis propter vo
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
labda mnafikiri kwamba mpaka sasa tumekuwa tukijitetea wenyewe mbele yenu! lakini, tunasema mambo haya mbele ya mungu, tukiwa tumeungana na kristo. mambo hayo, yote, wapenzi wangu, ni kwa ajili ya kuwajenga ninyi.
olim putatis quod excusemus nos apud vos coram deo in christo loquimur omnia autem carissimi propter vestram aedificatione
Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality: