Results for watoza translation from Swahili to Latin

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Latin

Info

Swahili

watoza

Latin

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latin

Info

Swahili

siku moja, watoza ushuru na wahalifu wengi walikwenda kumsikiliza yesu.

Latin

erant autem adpropinquantes ei publicani et peccatores ut audirent illu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nao watoza ushuru wakaja pia ili wabatizwe, wakamwuliza, "mwalimu, tufanye nini?"

Latin

venerunt autem et publicani ut baptizarentur et dixerunt ad illum magister quid faciemu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kulikuwa na mtu mmoja mjini, jina lake zakayo ambaye alikuwa mkuu wa watoza ushuru tena mtu tajiri.

Latin

et ecce vir nomine zaccheus et hic erat princeps publicanorum et ipse dive

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alipokuwa nyumbani ameketi kula chakula, watoza ushuru wengi na wahalifu walikuja wakaketi pamoja naye na wanafunzi wake.

Latin

et factum est discumbente eo in domo ecce multi publicani et peccatores venientes discumbebant cum iesu et discipulis eiu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waliposikia hayo watu wote na watoza ushuru waliusifu wema wa mungu; hao ndio wale waliokuwa wameupokea ubatizo wa yohane.

Latin

et omnis populus audiens et publicani iustificaverunt deum baptizati baptismo iohanni

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

asipowasikia hao, liambie kanisa. na kama hatalisikia kanisa, na awe kwako kama watu wasiomjua mungu na watoza ushuru.

Latin

quod si non audierit eos dic ecclesiae si autem et ecclesiam non audierit sit tibi sicut ethnicus et publicanu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha lawi akamwandalia yesu karamu kubwa nyumbani mwake; na kundi kubwa la watoza ushuru na watu wengine walikuwa wameketi pamoja nao.

Latin

et fecit ei convivium magnum levi in domo sua et erat turba multa publicanorum et aliorum qui cum illis erant discumbente

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mafarisayo walipoona hayo, wakawaambia wanafunzi wake, "mbona mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?"

Latin

et videntes pharisaei dicebant discipulis eius quare cum publicanis et peccatoribus manducat magister veste

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

je, mtapata tuzo gani kwa kuwapenda tu wale wanaowapenda ninyi? hakuna! kwa maana hata watoza ushuru hufanya hivyo!

Latin

si enim diligatis eos qui vos diligunt quam mercedem habebitis nonne et publicani hoc faciun

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mafarisayo na walimu wa sheria wakawanung'unikia wafuasi wake wakisema: "mbona mnakula na kunywa pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?"

Latin

et murmurabant pharisaei et scribae eorum dicentes ad discipulos eius quare cum publicanis et peccatoribus manducatis et bibiti

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

akaja mwana wa mtu; anakula na kunywa, mkasema: mwangalieni mlafi huyu na mlevi; rafiki ya watoza ushuru na wenye dhambi!

Latin

venit filius hominis manducans et bibens et dicitis ecce homo devorator et bibens vinum amicus publicanorum et peccatoru

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, baadhi ya walimu wa sheria ambao walikuwa mafarisayo walipomwona yesu akila pamoja na watu wenye dhambi na watoza ushuru, wakawauliza wanafunzi wake, "kwa nini anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?"

Latin

et scribae et pharisaei videntes quia manducaret cum peccatoribus et publicanis dicebant discipulis eius quare cum publicanis et peccatoribus manducat et bibit magister veste

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,793,523,122 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK