Results for zilikuwa translation from Swahili to Latin

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Latin

Info

Swahili

zilikuwa

Latin

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latin

Info

Swahili

maana hawakuwa bado wameelewa maana ya ile mikate. akili zao zilikuwa bado zimepumbazika.

Latin

non enim intellexerant de panibus erat enim cor illorum obcaecatu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nywele zake zilikuwa nyeupe kama pamba safi, kama theluji; macho yake yalimetameta kama moto;

Latin

caput autem eius et capilli erant candidi tamquam lana alba tamquam nix et oculi eius velut flamma igni

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuta za mji huo zilikuwa zimejengwa juu ya mawe ya msingi kumi na mawili, na juu ya mawe hayo yalikuwa yameandikwa majina na mitume kumi na wawili wa mwanakondoo.

Latin

et murus civitatis habens fundamenta duodecim et in ipsis duodecim nomina duodecim apostolorum agn

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kuonekana, nzige hao walikuwa kama farasi waliowekwa tayari kwa vita. juu ya vichwa vyao walikuwa na taji zilizo kama za dhahabu, na nyuso zao zilikuwa kama za binadamu.

Latin

et similitudines lucustarum similes equis paratis in proelium et super capita earum tamquam coronae similes auro et facies earum sicut facies hominu

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

umeme, sauti na ngurumo, vilikuwa vinatoka kwenye hicho kiti cha enzi. taa saba za moto zilikuwa zinawaka mbele ya hicho kiti cha enzi. taa hizo ni roho saba za mungu.

Latin

et de throno procedunt fulgura et voces et tonitrua et septem lampades ardentes ante thronum quae sunt septem spiritus de

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kabla ya kuliuza lilikuwa mali yako, na baada ya kuliuza, bado hizo fedha zilikuwa zako uzitumie utakavyo. kwa nini basi, uliamua moyoni mwako kufanya jambo la namna hii? hukumdanganya mtu; umemdanganya mungu!"

Latin

nonne manens tibi manebat et venundatum in tua erat potestate quare posuisti in corde tuo hanc rem non es mentitus hominibus sed de

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,800,533,503 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK