Results for tunaweza translation from Swahili to Latvian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latvian

Info

Swahili

tukizitii amri za mungu, basi, tunaweza kuwa na hakika kwamba tunamjua.

Latvian

no tā mēs zinam, ka viņu esam pazinuši, ja izpildam viņa baušļus.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunaweza kusema hayo kwa sababu ya tumaini letu tulilo nalo kwa mungu kwa njia ya kristo.

Latvian

bet tāda paļāvība mums ir uz dievu caur kristu;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

si kwamba sisi tunaweza kufanya chochote kwa nguvu zetu wenyewe, ila uwezo wetu wote hutoka kwa mungu:

Latvian

ne tāpēc, ka mēs būtu no sevis spējīgi domāt it kā no sevis, bet mūsu spējas ir no dieva.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivyo, kwa njia yake, sisi sote, wayahudi na watu wa mataifa mengine, tunaweza kumwendea baba katika roho mmoja.

Latvian

jo caur viņu mums abiem dota pieeja pie tēva vienā garā.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana sheria ya mose haikuweza kukamilisha jambo lolote. lakini sasa, mahali pake pamewekwa tumaini lililo bora zaidi ambalo kwalo tunaweza kumkaribia mungu.

Latvian

jo likums neko nav vedis pie pilnības, turpretī tiek ievesta lielāka cerība, ar kuru mēs tuvojamies dievam.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakamjibu, "tunaweza." yesu akawaambia, "kikombe nitakachokunywa mtakinywa kweli, na mtabatizwa kama nitakavyobatizwa.

Latvian

bet tie viņam sacīja: mēs varam! bet jēzus viņiem sacīja: biķeri, kuru es dzeru, jūs gan dzersiet un tapsiet kristīti kristībā, kurā es topu kristīts,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini sisi ni wake mungu. mtu anayemjua mungu hutusikiliza, mtu asiye wa mungu hatusikilizi. basi, kwa njia hiyo tunaweza kutambua tofauti kati ya roho wa ukweli na roho wa uongo.

Latvian

mēs esam no dieva. kas pazīst dievu, tas mūs uzklausa; kas nav no dieva, tas mūs neklausa. no tā pazīstam patiesības garu un maldu garu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, tunaweza kujivunia nini? hakuna! kwa nini? je, kwa sababu ya kutimiza sheria? la! bali kwa sababu tunaamini.

Latvian

kur paliek tava dižošanās? tā ir izslēgta. ar kādu likumu? darbiem? nē, bet ar ticības likumu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa maana, roho mliyempokea si roho mwenye kuwafanya ninyi watumwa na kuwatia tena hofu; sivyo, bali mmempokea roho mwenye kuwafanya ninyi watoto wa mungu, na kwa nguvu ya huyo roho, sisi tunaweza kumwita mungu, "aba," yaani "baba!"

Latvian

jo jūs neesat saņēmuši verdzības garu, lai jūs atkal bītos, bet jūs saņēmāt pieņemtā bērna garu, kurā mēs sucam: abba (tēvs).

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,905,884,318 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK