Results for waaminifu translation from Swahili to Latvian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Latvian

Info

Swahili

na kama hamjakuwa waaminifu katika mali ya mtu mwingine, ni nani atakayewakabidhi mali yenu wenyewe?

Latvian

un ja jūs svešās lietās neesat bijuši uzticami, kas jums dos to, kas ir jūsu?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tukikosa kuwa waaminifu, yeye hubaki mwaminifu daima, maana yeye hawezi kujikana mwenyewe."

Latvian

ja mēs neuzticīgi, viņš paliek uzticīgs, jo viņš nevar pats sevi noliegt.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kama basi, ninyi si hamjawa waaminifu mali mbaya za dunia, ni nani atakayewakabidhi zile mali za kweli?

Latvian

ja jau jūs netaisnas bagātības lietās neesat bijuši uzticami, kas lai jums uztic to, kas ir patiess,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini itakuwaje iwapo baadhi yao hawakuwa waaminifu? je, jambo hilo litaondoa uaminifu wa mungu?

Latvian

kas tad, ja daži no viņiem neticēja? vai tad dažu neticība var atcelt dieva uzticību? nekad ne!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunawaandikia ninyi watu wa mungu huko kolosai, ndugu zetu waaminifu katika kuungana na kristo. tunawatakieni neema na amani kutoka kwa mungu baba yetu.

Latvian

tiem svētajiem, kas dzīvo kolosā, un ticīgajiem brāļiem kristū jēzū:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mimi paulo, mtume wa kristo yesu kwa mapenzi ya mungu, nawaandikia ninyi watu wa mungu huko efeso, mlio waaminifu katika kuungana na kristo yesu.

Latvian

pāvils, saskaņā ar dieva prātu jēzus kristus apustulis, visiem svētajiem, kas atrodas efezā, un ticīgajiem jēzū kristu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

agano hili halitakuwa kama lile nililofanya na babu zao siku ile nilipowaongoza kwa mkono kutoka nchi ya misri. hawakuwa waaminifu kwa agano langu; na hivyo mimi sikuwajali, asema bwana.

Latvian

ne tādu derību, kādu nodibināju ar viņu tēviem tanī dienā, kad satvēru viņu roku, lai izvestu tos no Ēģiptes zemes, jo viņi paši nav palikuši manā derībā, un es viņus atmetu, saka kungs.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watapigana na mwanakondoo, lakini mwanakondoo pamoja na wale aliowaita na kuwachagua, ambao ni waaminifu, atawashinda kwa sababu yeye ni bwana wa mabwana na mfalme wa wafalme."

Latvian

tie karos ar jēru, bet jērs tos uzvarēs, jo viņš ir kungu kungs un ķēniņu Ķēniņš; un tie, kas ar viņu, ir aicinātie, izredzētie un uzticīgie.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

usiogope hata kidogo yale ambayo itakulazimu kuteseka. sikiliza! ibilisi anataka kuwajaribu kwa kuwatia baadhi yenu gerezani; nanyi mtapata dhiki kwa muda wa siku kumi. muwe waaminifu hata mpaka kufa, nami nitawapeni taji ya uzima.

Latvian

nebīsties no tā, kas tev vēl būs jācieš! lūk, velns metīs kādus no jums cietumā, lai jūs tiktu pārbaudīti un jums būs bēdas desmit dienas. esi uzticīgs līdz nāvei, un es tev došu dzīvības kroni.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,920,138,005 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK