Results for makanisa translation from Swahili to Lithuanian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Lithuanian

Info

Swahili

katika safari hiyo alipitia siria na kilikia akiyaimarisha makanisa.

Lithuanian

jis leidosi per siriją ir kilikiją, stiprindamas bažnyčias.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"aliye na masikio, basi, na ayasikie yale roho anayoyaambia makanisa!

Lithuanian

kas turi ausis, teklauso, ką dvasia sako bažnyčioms!”

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 4
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na, licha ya mengine mengi, kila siku nakabiliwa na shughuli za makanisa yote.

Lithuanian

neminint viso kito, kas atsitinka kasdien, rūpinuosi visomis bažnyčiomis.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ndugu, tunapenda kuwapa habari juu ya neema ambazo mungu ameyajalia makanisa ya makedonia.

Lithuanian

be to, pranešame jums, broliai, apie dievo malonę, suteiktą makedonijos bažnyčioms.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivyo, yale makanisa yalizidi kuwa imara katika imani, na idadi ya waumini ikaongezeka kila siku.

Lithuanian

taip bažnyčios stiprėjo tikėjimu ir kasdien augo skaičiumi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sasa, yahusu ule mchango kwa ajili ya watu wa mungu: fanyeni kama nilivyoyaagiza makanisa ya galatia.

Lithuanian

su rinkliava šventiesiems darykite taip, kaip nurodžiau galatijos bažnyčioms.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

makanisa yote ya asia yanawasalimuni. akula na priskila pamoja na watu wote wa mungu walio nyumbani mwao wanawasalimuni sana katika bwana.

Lithuanian

jus sveikina azijos bažnyčios. karštai sveikina viešpatyje akvilas ir priscilė kartu su bažnyčia, kuri jų namuose.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nilipofanya kazi kati yenu, mahitaji yangu yaligharimiwa na makanisa mengine. kwa namna moja au nyingine niliwapokonya wao mali yao nipate kuwatumikia ninyi.

Lithuanian

apiplėšiau kitas bažnyčias, imdamas iš jų atlyginimą, kad galėčiau tarnauti jums.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa vyovyote kila mmoja na aishi kufuatana na vipaji alivyogawiwa na bwana, na kama alivyoitwa na mungu. hili ndilo agizo langu kwa makanisa yote.

Lithuanian

todėl, kaip viešpats kuriam paskyrė, kokį dievas kurį pašaukė, to jis ir toliau tesilaiko. taip aš mokau visose bažnyčiose.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"aliye na masikio, basi, na asikie yale roho anayoyaambia makanisa! "wale wanaoshinda hawataumizwa na kifo cha pili.

Lithuanian

kas turi ausis, teklauso, ką dvasia sako bažnyčioms: ‘nugalėtojas nenukentės nuo antrosios mirties’ ”.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

zaidi ya hayo, yeye amechaguliwa na makanisa awe mwenzetu safarini wakati tunapopeleka huduma hii yetu ya upendo, huduma tunayoifanya kwa ajili ya utukufu wa bwana na uthibitisho wa nia yetu njema.

Lithuanian

dar daugiau, jis yra bažnyčių paskirtas mūsų kelionių palydovu šiai malonei, kurią mes vykdome paties viešpaties šlovei ir jūsų paslaugumui parodyti,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je, mlipungukiwa nini zaidi kuliko makanisa mengine, isipokuwa tu kwamba mimi kwa upande wangu sikuwasumbueni kupata msaada wenu? samahani kwa kuwakoseeni haki hiyo!

Lithuanian

tad ko jums trūksta palyginti su kitomis bažnyčiomis? vien to, kad nebuvau jums našta. atleiskite man šitą nusikaltimą!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ndiyo maana nimemtuma timetheo kwenu. yeye ni mtoto wangu mpenzi na mwaminifu katika bwana. atawakumbusheni njia ninayofuata katika kuishi maisha ya kikristo; njia ninayofundisha kila mahali katika makanisa yote.

Lithuanian

tuo tikslu ir pasiunčiau pas jus timotiejų, kuris yra mano mylimas sūnus ir ištikimas viešpatyje. jis jums primins mano kelius kristuje, kaip aš mokau visur, kiekvienoje bažnyčioje.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siri ya nyota zile saba ulizoziona katika mkono wangu wa kulia, na siri ya vile vinara saba vya taa hii: zile nyota saba ni malaika wa makanisa; na vile vinara saba vya taa ni makanisa saba.

Lithuanian

Štai septynių žvaigždžių, kurias matei mano dešinėje, ir septynių aukso žibintuvų paslaptis: septynios žvaigždės­tai septynių bažnyčių angelai, o septyni žibintuvai, kuriuos matei,­tai septynios bažnyčios”.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tito ni mwenzangu; tunafanya kazi pamoja kwa ajili yenu; lakini kuhusu hawa ndugu zetu wengine, wanaokuja pamoja nao, hao ni wajumbe wa makanisa, na utukufu kwa kristo.

Lithuanian

titas‰tai mano bendražygis ir jūsų pagalbininkas, o tie mūsų broliai‰bažnyčių pasiuntiniai, kristaus šlovė.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nayo ilisema, "andika katika kitabu yote unayoyaona, ukipeleke kwa makanisa haya saba: efeso, smurna, pergamoni, thuatira, sarde, filadelfia na laodikea."

Lithuanian

sakantį: “aš esu alfa ir omega, pirmasis ir paskutinysis. ką matai, surašyk į knygą ir pasiųsk septynioms bažnyčioms azijoje: į efezą, į smirną, į pergamą, į tiatyrus, į sardus, į filadelfiją ir į laodikėją”.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,913,815,583 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK