Results for tuzo translation from Swahili to Polish

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Polish

Info

Swahili

tuzo hiyo pia inaungwa mkono na thompson reuters.

Polish

nagrodę tą wspiera również thomson reuters.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

blogu za afrika zapendekezwa kupokea tuzo ya bloggies 2009

Polish

blogi afrykańskie nominowane do nagród bloggies 2009

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tuzo ya kuvunja mipaka iko wazi kwa watu wa kila taifa.

Polish

nagroda pokonywania granic jest otwarta dla wszystkich narodowości.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

global voices yaingia ubia na google katika tuzo ya uhuru wa kujieleza

Polish

partnerstwo global voices z google w nagrodzie za wolność wypowiedzi

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tuzo ya kuvunja mipaka pia inaboresha kazi za idara ya utetezi ya global voices, ambayo iliundwa mwezi februari 2007 ili kutilia mkazo kazi za asasi zinazohusiana na uhuru wa kujieleza.

Polish

nagroda pokonywania granic uzupełnia pracę global voices advocacy, założonego w lutym 2007 w celu skupienia się na działalności organizacji związanej z wolnością słowa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tuzo ya kuvunja mipaka inaendeleza maadili yaliyowekwa katika ilani ya global voices, ambayo iliandikwa kwa pamoja kwenye wiki mwaka 2004 ili kubainisha kanuni za kuiongoza asasi na jamii ambayo ilikuja kujulikana kama global voices.

Polish

nagroda pokonywania granic opiera się na zasadach wyznawanych przez manifest global voices, dokument napisany wspólnie na wiki w 2004 dla wyrażenia zasad, jakimi kieruje się organizacja i społeczność, która później została poznana jako global voices.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mapendekezo kwa ajili ya tuzo ya kuvunja mipaka yanaweza kuwasilishwa hapa http://www.breakingborders.net na zoezi litafungwa tarehe 15, februari, 2010.

Polish

nominacje do nagrody pokonywania granic można zgłaszać na stronie http://www.breakingborders.net do 15-go lutego 2010.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,934,727,603 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK