Results for mahitaji translation from Swahili to Portuguese

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Portuguese

Info

Swahili

zaidi ya kunisaidia kukimu mahitaji ya kifedha, pia ilinisaidia kiafya.

Portuguese

além dela ter me mantido financeiramente, eu mudei da água para o vinho no meu estado de saúde.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wasaidieni watu wa mungu katika mahitaji yao; wapokeeni wageni kwa ukarimu.

Portuguese

acudi aos santos nas suas necessidades, exercei a hospitalidade;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walikuwa wakiuza mali na vitu vyao kisha wakagawana fedha kadiri ya mahitaji ya kila mmoja.

Portuguese

e vendiam suas propriedades e bens e os repartiam por todos, segundo a necessidade de cada um.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mahitaji ya msingi, kama chakula, elimu na nyumba yana bei sawa na baadhi ya nchi za ulaya.

Portuguese

os serviços básicos como alimentação, educação e moradia revestem-se de preços comparáveis a alguns países europeus.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mnajua ninyi wenyewe kwamba nimefanya kazi kwa mikono yangu mwenyewe, ili kujipatia mahitaji yangu na ya wenzangu.

Portuguese

vós mesmos sabeis que estas mãos proveram as minhas necessidades e as dos que estavam comigo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa namna hiyo mtajipatia sifa nzuri kutoka kwa wale wasio wakristo, na hamtakuwa na lazima ya kuwategemea wengine kwa mahitaji yenu.

Portuguese

a fim de que andeis dignamente para com os que estão de fora, e não tenhais necessidade de coisa alguma.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha akamwamuru yule jemadari amweke paulo kizuizini, lakini awe na uhuru kiasi, na rafiki zake wasizuiwe kumpatia mahitaji yake.

Portuguese

e ordenou ao centurião que paulo ficasse detido, mas fosse tratado com brandura e que a nenhum dos seus proibisse servi-lo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nilipofanya kazi kati yenu, mahitaji yangu yaligharimiwa na makanisa mengine. kwa namna moja au nyingine niliwapokonya wao mali yao nipate kuwatumikia ninyi.

Portuguese

outras igrejas despojei, recebendo delas salário, para vos servir;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maombi yanayoweza kukubaliwa ni yale yanayokusudia kubuni huduma mpya zitakazotumia teknolojia ya habari na mawasiliano kwa njia za kiubunifu ili kuweza kukidhi mahitaji ya watoto na vijana katika jamii zao.

Portuguese

para ser elegível, o projeto precisa desenvolver novos serviços que utilizem as novas tecnologias de informação e comunicação (ntic) de forma criativa para atender às necessidades de crianças e jovens nas comunidades.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila mlicho nacho sasa cha ziada kiwasaidie wale wanaohitaji, ili nao wakati watakapokuwa na ziada, wawasaidie ninyi katika mahitaji yenu, na hivyo kuwe na usawa.

Portuguese

mas para que haja igualdade, suprindo, neste tempo presente, na vossa abundância a falta dos outros, para que também a abundância deles venha a suprir a vossa falta, e assim haja igualdade;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa juhudi hizi wanaruhusu mahitaji ya kila mtu kueleweka, kama ni kukosa nyaraka, au matibabu ya uzoefu wa dawa za kulevya, na kuwasaidia kujiboresha kupitia mtandao wa washirika wa sekta ya tatu.

Portuguese

com a criação de vínculos dá para compreender as necessidades mais urgentes de cada um, como a falta de documentos ou tratamento para dependência química, e encaminhar uma saída pela rede de parceiros do terceiro setor.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na alipo kwisha watengenezea mahitaji yao akakitia kikopo cha kunywea maji katika mzigo wa nduguye huyo, kisha mnadi akanadi: enyi wasafiri! hapana shaka nyinyi ni wezi!

Portuguese

e quando lhes forneceu as provisões, colocou uma ânfora no alforje do seu irmão; logo um arauto gritou: Ó caravaneiros, sois uns ladrões!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

miradi iwe na sifa zifuatazo: itumie mbinu za kiubunifu kujaribu kuyakidhi mahitaji ya watoto na vijana, na itumie teknolojia ya kidijitali katika mbinu mpya na zenye ubunifu, na ilenge kufanya kazi kwa ushirikiano na idara au mashirika ya serikali, mashirika ya kiraia au wabunifu wa teknolojia.

Portuguese

os projetos devem: ter uma abordagem inovadora para atender às necessidades de crianças e jovens, usar tecnologias digitais de maneira nova e criativa, trabalhar em parceria com departamentos governamentais ou agências, organizações da sociedade civil ou grupos inovadores em tecnologia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,920,120,604 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK