Results for nakubali translation from Swahili to Russian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Russian

Info

Swahili

ikiwa basi, ninatenda kinyume cha matakwa yangu, hii inamaanisha kwamba nakubali kuwa ile sheria ni nzuri.

Russian

Если же делаю то, чего не хочу, то соглашаюсь с законом, что он добр,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa aibu nakubali kwamba sisi tulikuwa dhaifu. iwe iwavyo, lakini kama kuna mtu yeyote anayethubutu kujivunia kitu--nasema kama mtu mpumbavu--mimi nathubutu pia.

Russian

К стыду говорю, что на это у нас недоставало сил. А если кто смеет хвалиться чем-либо, то(скажу по неразумию) смею и я.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo nakubali kwa radhi udhaifu, madharau, taabu, udhalimu na mateso, kwa ajili ya kristo; maana ninapokuwa dhaifu, ndipo ninapokuwa na nguvu.

Russian

Посему я благодушествую в немощах, в обидах, в нуждах, в гонениях, в притеснениях за Христа, ибо, когда я немощен, тогда силен.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtu anaweza kusema: "kwangu mimi kila kitu ni halali." sawa; lakini si kila kitu kinafaa. nakubali kwamba kila kitu ni halali kwangu lakini sitaki kutawaliwa na kitu chochote.

Russian

Все мне позволительно, но не все полезно; все мне позволительно, но ничто не должно обладать мною.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,925,121,559 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK