Results for ukombozi translation from Swahili to Russian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Russian

Info

Swahili

afrika: kusherehekea siku ya ukombozi wa afrika kwenye mtandao wa twita

Russian

Африка: празднование Дня освобождения Африки в twitter

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mungu wetu ni mpole na mwenye huruma. atasababisha pambazuko angavu la ukombozi litujie kutoka juu,

Russian

по благоутробному милосердию Бога нашего, которым посетил нас Восток свыше,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

saa hiyohiyo alijitokeza mbele, akamshukuru mungu, na akaeleza habari za huyo mtoto kwa watu wote waliokuwa wanatazamia ukombozi wa yerusalemu.

Russian

И она в то время, подойдя, славила Господа и говорила о Нем всем, ожидавшим избавления в Иерусалиме.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakapaaza sauti: "ukombozi wetu watoka kwa mungu wetu aketiye juu ya kiti cha enzi, na kutoka kwa mwanakondoo!"

Russian

И восклицали громким голосом, говоря: спасение Богунашему, сидящему на престоле, и Агнцу!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

siku ya ukombozi wa afrika ni maadhimisho ya kila mwaka kukumbuka tarehe 25 mei 1963 siku ambayo umoja wa nchi huru za afrika (oau) ulianzishwa.

Russian

День освобождения Африки установлен Организацией Африканского Единства (ОАЕ) и с 1963 года ежегодно празднуется 25 мая.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yaani ilimpasa kristo ateseke na kuwa wa kwanza kufufuka kutoka wafu, ili atangaze kwamba mwanga wa ukombozi unawaangazia sasa watu wote, wayahudi na pia watu wa mataifa mengine."

Russian

то есть что Христос имел пострадать и, восстав первый из мертвых, возвестить свет народу(Иудейскому) и язычникам.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

siku ya ukombozi wa afrika 2012, ambayo awali iliiitwa siku ya uhuru afrika, iliadhimisha miaka 49 ya siku ya afrika na miaka 10 tangu kuundwa kwa umoja wa afrika (au).

Russian

В этом году День освобождения Африки, изначально называвшийся Днем свободы Африки, отпраздновали 49 раз. Также в этот день было отмечено 10-летие Африканского Союза (АС).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha nikasikia sauti kubwa kutoka mbinguni ikisema: "sasa ukombozi utokao kwa mungu umefika! nguvu na utawala wa mungu wetu umedhihirika. na kristo wake ameonyesha mamlaka yake! maana yule mdhalimu wa ndugu zetu, aliyesimama mbele ya mungu akiwashtaki usiku na mchana, sasa ametupwa nje.

Russian

И услышал я громкий голос, говорящий на небе: ныне настало спасение и сила и царство Бога нашего и власть Христа Его, потому что низвержен клеветник братий наших, клеветавший на них пред Богом нашим день и ночь.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,953,184,449 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK