From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
lakini kwa upande wenu, hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote.
a vama je i kosa na glavi sva izbrojana.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
nywele zao zilikuwa kama nywele za wanawake, na meno yao yalikuwa kama meno ya simba.
i imahu kose kao kose enske, i zubi njihovi behu kao u lavova;
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
hata maumbile yenyewe huonyesha wazi kwamba kwa mwanamume kuwa na nywele ndefu ni aibu kwake mwenyewe;
ili ne uèi li vas i sama priroda da je muu sramota ako gaji dugaèku kosu;
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
nywele zake zilikuwa nyeupe kama pamba safi, kama theluji; macho yake yalimetameta kama moto;
a glava njegova i kosa bee bela kao bela vuna, kao sneg; i oèi njegove kao plamen ognjeni;
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
katika kujipamba kwenu msitegemee mambo ya njenje, kama vile mitindo ya kusuka nywele, kujivalia vitu vya dhahabu na nguo maridadi.
vaa lepota da ne bude spolja u pletenju kose, i u udaranju zlata, i oblaèenju haljina;
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. msiogope, basi, ninyi mna thamani zaidi kuliko shomoro wengi!
a u vas je i kosa na glavi izbrojana. ne bojte se dakle; vi ste bolji od mnogo vrabaca.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
maria ndiye yule aliyempaka bwana marashi na kumpangusa kwa nywele zake. lazaro, kaka yake, ndiye aliyekuwa mgonjwa.)
(a marija, koje brat lazar bolovae, bee ona to pomaza gospoda mirom i otre noge njegove svojom kosom.)
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, maria alichukua chupa ya marashi ya nardo safi ya thamani kubwa, akampaka yesu miguu na kuipangusa kwa nywele zake. nyumba yote ikajaa harufu ya marashi.
a marija uzevi litru pravog nardovog mnogocenog mira pomaza noge isusove, i otre kosom svojom noge njegove; a kuæa se napuni mirisa od mira.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mwanamke asiyefunika kichwa chake, afadhali anyoe nywele zake. lakini ni aibu kwa mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa; basi, afadhali afunike kichwa chake.
ako se, dakle, ne pokriva ena, neka se strie; ako li je runo eni striæi se ili brijati se, neka se pokriva.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
akaja, akasimama karibu na miguu yake yesu, akilia, na machozi yake yakamdondokea yesu miguuni. huyo mwanamke akaipangusa miguu ya yesu kwa nywele zake. kisha akaibusu na kuipaka yale marashi.
i stavi sastrag kod nogu njegovih plakae, i stade prati noge njegove suzama, i kosom od svoje glave otirae, i celivae noge njegove, i mazae mirom.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
paulo alikaa bado na wale ndugu huko korintho kwa siku nyingi. kisha aliwaaga, akapanda meli kwenda siria pamoja na priskila na akula. huko kenkrea, alinyoa nywele zake kwa sababu ya nadhiri aliyokuwa ameweka.
a pavle osta jo pozadugo, i oprostivi se s braæom otplovi u siriju i s njime priskila i akila, i ostrie glavu u kenhreji, jer se bee zavetovao.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
jiunge nao katika ibada ya kujitakasa, ukalipe na gharama zinazohusika, kisha wanyolewe nywele zao. hivyo watu wote watatambua kwamba habari zile walizoambiwa juu yako hazina msingi wowote, na kwamba wewe binafsi bado unaishi kufuatana na maagizo ya sheria za mose.
ove uzmi i oèisti se s njima, i potroi na njih neka ostriu glave svoje, i svi æe doznati da ono to su èuli za tebe nita nije, nego da i sam dri zakon i ivi po njemu.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
halafu akamgeukia yule mwanamke na kumwambia simoni, "unamwona huyu mwanamke, sivyo? basi, mimi nilipoingia hapa nyumbani kwako hukunipa maji ya kunawa miguu yangu; lakini mwanamke huyu ameniosha miguu yangu kwa machozi yake na kunipangusa kwa nywele zake.
i okrenuvi se k eni reèe simonu: vidi li ovu enu? ja udjoh u tvoju kuæu, ni vode mi na noge nisi dao; a ona suzama obli mi noge, i kosom od glave svoje otre.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting