Results for shambani translation from Swahili to Serbian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Serbian

Info

Swahili

aliye shambani asirudi nyuma kuchukua vazi lake.

Serbian

i koji bude u polju da se ne vrati natrag da uzme haljine svoje.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.

Serbian

dva æe biti na njivi, jedan æe se uzeti a drugi æe se ostaviti.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hivyo mwombeni mwenye shamba atume wavunaji shambani mwake."

Serbian

molite se, dakle, gospodaru od žetve da izvede poslenike na žetvu svoju.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wakati huo watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.

Serbian

tada æe biti dva na njivi; jedan æe se uzeti, a drugi æe se ostaviti.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadaye yesu aliwatokea wanafunzi wawili akiwa na sura nyingine. wanafunzi hao walikuwa wanakwenda shambani.

Serbian

a potom javi se na putu dvojici od njih u drugom oblièju, kad su išli u selo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu akaendelea kusema, "ufalme wa mungu ni kama ifuatavyo. mtu hupanda mbegu shambani.

Serbian

i govoraše im: tako je carstvo božje kao èovek kad baci seme u zemlju;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

"wakati huo kaka yake alikuwa bado shambani. alipokuwa akirudi na kukaribia nyumbani akasikia vifijo na ngoma.

Serbian

a sin njegov stariji beše u polju, i dolazeæi kad se približi kuæi èu pevanje i podvikivanje.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

"siku hiyo, yeyote atakayekuwa juu ya paa asishuke nyumbani kuchukua mali yake. kadhalika, naye atakayekuwa shambani asirudi nyuma.

Serbian

u onaj dan koji se desi na krovu, a pokuæstvo njegovo u kuæi, neka ne silazi da ga uzme; i koji se desi u polju, tako neka se ne vraæa natrag.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

akawaambia, "mavuno ni mengi, lakini wavunaji ni wachache. kwa hivyo, mwombeni mwenye shamba atume wavunaji shambani mwake.

Serbian

a reèe im: Žetva je dakle velika, a poslenika malo; nego se molite gospodaru od žetve da izvede poslenike na žetvu svoju.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha yesu aliwaaga wale watu, akaingia nyumbani. wanafunzi wake wakamwendea, wakamwambia, "tufafanulie ule mfano wa magugu shambani."

Serbian

tada ostavi isus ljude, i dodje u kuæu. i pristupiše k njemu uèenici njegovi govoreæi: kaži nam prièu o kukolju na njivi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini, kama mungu hulivika vizuri jani la shambani ambalo leo liko na kesho latupwa motoni, je, hatawafanyia ninyi zaidi? enyi watu wenye imani haba!

Serbian

a kad travu po polju, koja danas jeste, a sutra se u peæ baca, bog tako odeva, a kamoli vas, maloverni!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"tuseme mmoja wenu ana mtumishi ambaye analima shambani au anachunga kondoo. je, anaporudi kutoka shambani, atamwambia: haraka, njoo ule chakula?

Serbian

koji pak od vas kad ima slugu koji ore ili èuva stoku pa kad dodje iz polja, kaže mu: hodi brzo i sedi za trpezu?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,952,992,635 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK