Results for kupelekea translation from Swahili to Spanish

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Spanish

Info

Swahili

kupelekea

Spanish

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

juni 3, serikali ya morsi iliondoshwa madarakani na kupelekea nchi hiyo hadi sasa kuongozwa kwa serikali ya mpito.

Spanish

el 3 de julio, el reino de un año de morsi fue interrumpido y ahora egipto es liderado por un gobierno interino.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kifo chake kimeamsha heshima ya juhudi zake na kupelekea kuamsha tena maandamano kuhusu mauaji ya watu wa shia nchini pakistani.

Spanish

su asesinato ha provocado un homenaje a su lucha y reavivado las protestas sobre los asesinatos chiitas en pakistán.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati maandamano ya juma lililopita yalishirikisha zaidi wanachama wa vyama vya upinzani, mgogoro huu unaonekana kupelekea kuwa mgogoro mkubwa zaidi wa kijamii.

Spanish

en tanto que en las protestas de la semana pasada participó principalmente la oposición, la confrontación parece estar desarrollándose como un conflicto social mayor.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wako watu wengine wanaochukulia hii kama fursa ya kipekee ya kukomesha mfumo wa kuwa na askari wa kutuliza ghasia, ambao huwa una kawaida ya kupelekea vijana katika utumishi wa jeshi.

Spanish

otras personas lo tomaron como una rara oportunidad de abolir el sistema de la policía para guardia de disturbios, que reúne hombres jóvenes en servicio militar.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu wapatao 250 000 wameteguliwa kutoka kwenye makazi yao tangu machafuko yalipolipuka tena mnamo mwezi wa agosti, na kupelekea idadi ya watu waliopoteza makazi yao kufikia zaidi ya milioni 2 katika ukanda huo.

Spanish

alrededor de 250.000 personas han sido desplazadas desde que el conflicto se reavivó en agosto, llevando la cifra total de desplazados a más de 2 millones.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama mapinduzi ya mwisho ya kijeshi yaliyotokea agosti 2005, yangalieleweka na jumuiya ya kimataifa baada ya kung'olewa kwa rais ould tayaa, na hatimaye kupelekea mabadiliko makubwa, mapinduzi haya ya juzi yalikuwa tofauti saana.

Spanish

si el último golpe, de agosto del 2005, pudo ser visto con cauto entendimiento por la comunidad internacional, al haber derrocado al presidente ould tayaa, y a la larga con elogios pues condujo a una real transformación, esta vez es totalmente diferente.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,736,126,065 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK