Results for madaraka translation from Swahili to Spanish

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

alikataa kuachia madaraka.

Spanish

se negó a dejar el poder.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni vigumu kuachia madaraka.

Spanish

es difícil ceder el control.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hamtapenya ila kwa kupewa madaraka.

Spanish

pero no podréis atravesarlas sin ayuda de una autoridad...

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sielewi hizi porojo za ukomo wa madaraka.

Spanish

no entiendo esa fijación con un límite al mandato de un cargo por elección.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tayari nyumba imevunjwa na madaraka yamerudishwa kwa watu wale wale.

Spanish

ya tuvimos una disolución del gobierno y el poder volvió al pueblo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katuni: leo tunatimiza miaka 29 tangu nrm itwae madaraka

Spanish

caricatura: hoy se cumplen 29 años desde que el nrm asumió el poder.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naye akamwambia pia: nawe utakuwa na madaraka juu ya miji mitano.

Spanish

también a éste le dijo: 'tú también estarás sobre cinco ciudades.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kupandishwa cheo kwa sisi ni ishara ya karibu sana ya kuachia madaraka.

Spanish

el ascenso del general al sisi es una señal de inminente dimisión.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

au wanazo khazina za mola wako mlezi au wao ndio wenye madaraka?

Spanish

¿o tienen los tesoros de tu señor? ¿o se creen unos potentados?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika yeye hana madaraka juu ya walio amini na wakamtegemea mola wao mlezi.

Spanish

Él no puede nada contra los que creen y confían en su señor.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je, madaraka ni matamu kiasi cha watawala wa afrika kushindwa kuyaachia?

Spanish

¿es el poder demasiado dulce para que a los líderes africanos les duela dejarlo?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ilikuwa ni ziara yake rasmi ya kwanza tangu mwaka 2005 wakati alipochukua madaraka.

Spanish

fue su primera visita oficial desde 2005 cuando asumió el cargo por primera vez.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

gershom ndhlovu anaangalia sababu za kwa nini watawala wa afrika hawataki kuachia madaraka:

Spanish

gershom ndhlovu analiza las razones por las cuales los líderes africanos no abandonarían sus cargos:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapa ni baadhi ya miitikio baada ya kufahamu kuwa wanajeshi waasi walikuwa wametwaa madaraka :

Spanish

aquí pueden ver algunas reacciones tras enterarse de la toma de poder por parte de la insurrección militar. :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika madaraka yake ni juu ya wanao mfanya rafiki yao, na wale wanao fanya ushirika naye.

Spanish

sólo tiene poder contra los que traban amistad con él y asocian a Él otros dioses.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mt'iini mwenyezi mungu, na mt'iini mtume na wenye madaraka katika nyinyi.

Spanish

obedeced a alá, obedeced al enviado y a aquéllos de vosotros que tengan autoridad.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jamani niambieni, ni lini huyu mpumbavu ataachia madaraka, ninamaanisha mugabe kuichia zimbabwe, jamani hebu tufanye kitu

Spanish

amigos, decidme, cuando va abandonar zimbabue el bastardo de mugabe, tenemos que hacer algo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

chadema waliongoza mapambano ya kumtaka kuachia madaraka wakati alipotuhumiwa kuhusika kwenye kashfa ya ufisadi iliyomlazimisha achukue uamuzi wa kujiuzulu 2008.

Spanish

Él ha negado constantemente que su oficina estuviese implicada en aceptar comisiones por un importante contrato energético con la compañía americana richmond development.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tchadanthopus anaongeza kuwa mwanae mwingine zackaria idriss deby alisemekana kukabidhiwa umakamu wa rais nafasi ambayo inampa madaraka yote wakati baba yake anapokuwa nje ya nchi.

Spanish

tchadanthopus agrega que a su otro hijo zackaria idriss deby le fue supuestamente ofrecido ser el vice-presidente con poder ejecutivo cuando su padre esté fuera del país.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alisema kwa kiasi kinachoongezeka watu wanasaka nafasi za madaraka si kwa ajili ya kuwatumikia watu bali kimsingi kama njia rahisi ya kujipatia umaarufu, ushawishi na utajiri.

Spanish

advirtió que muchas personas estaban buscando puestos públicos no exactamente para servir a la población sino para enriquecerse, adquirir fama y poder.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,947,477,432 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK