Results for sikukuu translation from Swahili to Spanish

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

sikukuu

Spanish

feriado

Last Update: 2011-02-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

sikukuu ya vibanda ya wayahudi ilikuwa imekaribia.

Spanish

estaba próxima la fiesta de los tabernáculos de los judíos

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

sikukuu ya wayahudi iitwayo pasaka ilikuwa imekaribia.

Spanish

estaba cerca la pascua, la fiesta de los judíos

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

heri ya sikukuu ya noeli kusherehekea kuzaliwa kwa kristo!

Spanish

¡feliz navidad!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

ni sikukuu ya kuzaliwa kristo (noeli) mjini betlehemu

Spanish

es navidad en belén

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kila sikukuu ya pasaka, ilimlazimu pilato kuwafungulia mfungwa mmoja.

Spanish

pues tenía necesidad de soltarles uno en cada fiesta

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

sikukuu hiyo ilipofikia katikati, yesu naye alikwenda hekaluni, akaanza kufundisha.

Spanish

cuando ya había pasado la mitad de la fiesta, subió jesús al templo y enseñaba

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

saudi arabia huadhimisha sikukuu ya kitaifa ya uhuru tarehe 23, septemba.

Spanish

arabia saudita conmemora su día nacional el 23 de septiembre.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

sikukuu ya wayahudi ya pasaka ilikuwa imekaribia; hivyo yesu akaenda yerusalemu.

Spanish

estaba próxima la pascua de los judíos, y jesús subió a jerusalén

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

saudi arabia: mwanaharakati reema al joresh atiwa kizuizini katika sikukuu ya idi

Spanish

arabia saudita: detienen a activista reema al joresh en el día del eid

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

akasema: miadi yenu ni siku ya sikukuu; na watu wakusanywe kabla ya adhuhuri.

Spanish

dijo: «vuestra cita será para el día de la gran fiesta. que la gente sea convocada por la mañana».

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

sikukuu ya noeli ya mwaka 2011 nchini ivory coast ilikuwa tofauti na zile za miaka iliyopita.

Spanish

la navidad del 2011 en costa de marfil ha sido diferente a la de años anteriores.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kesho yake, kundi kubwa la watu waliokuja kwenye sikukuu walisikia kuwa yesu alikuwa njiani kuja yerusalemu.

Spanish

al día siguiente, cuando oyeron que jesús venía a jerusalén, la gran multitud que había venido a la fiest

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

baada ya ndugu zake kwenda kwenye sikukuu, yesu naye alikwenda, lakini hakuenda kwa hadhara bali kwa siri.

Spanish

pero cuando sus hermanos habían subido a la fiesta, entonces él también subió, no abiertamente sino en secreto

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

nchini marekani, anaenziwa kwa sikukuu ya taifa, inayoadhimishwa kila mwaka siku ya jumatatu ya tatu ya mwezi januari.

Spanish

en estados unidos, se le rinde homenaje con un feriado nacional, el tercer lunes de enero de cada año.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

tuteremshia chakula kutoka mbinguni ili kiwe sikukuu kwa ajili ya wa mwanzo wetu na wa mwisho wetu, na kiwe ni ishara itokayo kwako.

Spanish

haz que nos baje del cielo una mesa servida, que sea para nosotros, el primero como el último, motivo de regocijo y signo venido de ti.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

lobsang sangay.kwa vile tarehe 22 februari ni sikukuu ya kukaribisha mwaka mpya tibet, wanaharakati wamekuwa wakitoa wito wa duru mpya ya harakati za mshikamano.

Spanish

con motivo del año nuevo tibetano, que se celebra el 22 de febrero, los activistas pidieron otra ronda de acción solidaria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

msichana wa sudan kusini kwenye sherehe za sikukuu ya uhurupicha ni kwa matumizi ya umma - iliwekwa mtandaoni mwanzo na jonathan morgenstein/usaid kwenye flickr

Spanish

niña sudsudanesa en festividades de la independencia. imagen de dominio público - original de jonathan morgenstein/usaid en flickr.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

siku ya kwanza kabla ya sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu, wanafunzi walimwendea yesu wakamwuliza, "unataka tukuandalie wapi chakula cha pasaka?"

Spanish

el primer día de la fiesta de los panes sin levadura, los discípulos se acercaron a jesús diciendo: --¿dónde quieres que te hagamos los preparativos para comer la pascua

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

aliandika kuhusu jinsi walivyosherehekea sikukuu ya noeli kama familia pamoja na mtoto wao, hapo anaeleza jinsi mara nyingine inavyomwia vigumu kujaribu kuelewa maoni ya mkewe kama mtu asiyeamini katika mungu huku akishikilia matambiko fulani ya kiutamaduni ya kichina.

Spanish

al escribir la manera en que celebraron navidad en familia con su hijo, se encuentra en aprietos tratando de darle sentido a las ideas ateas de su esposa y su creencia en los rituales tradicionales chinos.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,774,149,406 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK