Results for uchungu translation from Swahili to Spanish

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Spanish

Info

Swahili

uchungu

Spanish

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

basi leo hapa hana jamaa wa kumwonea uchungu,

Spanish

hoy no tiene aquí amigo ferviente,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi tumewaandalia makafiri katika wao adhabu yenye uchungu.

Spanish

a los infieles de entre ellos les hemos preparado un castigo doloroso.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je, tunaweza kukisia uchungu walio nao wazazi wake hivi sasa?

Spanish

¿qué momento difícil tendrán sus padres ahora?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sahau uchungu wote uliosikika kwa watu wakisema hatuhitaji kutembelewa na obama.

Spanish

no hablemos de toda la amargura expulsada de que no necesitamos la visita de obama.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

marekani: wanawake walio kwenye uchungu wa kuzaa hawatafungwa tena minyororo.

Spanish

estados unidos: mujeres en trabajo de parto ya no serán inmovilizadas con grilletes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alikuwa mja mzito, na akapaaza sauti kwa maumivu na uchungu wa kujifungua mtoto.

Spanish

y estando encinta, gritaba con dolores de parto y sufría angustia por dar a luz

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

‪ @mtnugandacare: " kifo huacha uchungu moyoni ambao hakuna anayeweza kuuponya.

Spanish

@mtnugandacare tuiteó:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kwa kumbukumbu zake zinazoishi na zenye uchungu, shairi filamu hilo linatia fora kwa uaminifu wake na ubinadamu.

Spanish

entre errantes y dolorosos recuerdos, el poema sorprende por su desarmante sinceridad y humanidad.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa uchungu, edom alijijengea utaratibu wake wa kuhesabu katika twits zake kama namna ya kuhesabu siku walizofungwa wanahari wenzake.

Spanish

edom tomó este ritual del recuento de manera conmovedora y lo usó en sus tuits, para documentar la cantidad de días que los periodistas fueron obligados a permanecer detrás de las rejas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

athari za mabadiliko ya tabia nchi hazijapewa kipaumbele kinachostahili katika nchi yangu uganda lakini mabadiliko hayo na athari zake zinahisiwa kwa uchungu.

Spanish

en mi país, uganda, no se le ha dado mucha importancia a los impactos del cambio climático; sin embargo, sí que se sienten con mucha pena esos cambios y sus efectos.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila wakitaka kutoka humo kwa sababu ya uchungu watarudishwa humo humo, na wataambiwa: onjeni adhabu ya kuungua!

Spanish

siempre que, de atribulados, quieran salir de ella se les hará volver. «¡gustad el castigo del fuego de la gehena!»

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@themiinz: misri sio tunisia kwasababu kamwe hutomuona afisa yeyote akitokwa chozi kwa uchungu wa mashahidi wanaokufa.

Spanish

@themiinz: egipto no es túnez porque nunca verán a ninguno de nuestros funcionarios derramando lágrimas por los mártires.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwanablogu huyo anaandika kwamba udhibiti ungekuwa ni sababu nzuri ya kutokwenda kwenye maandamano, lakini ‘tufanye nini na uchungu huu?’

Spanish

el blogger escribe que la represión sería una buena razón para no ir a las calles a protestar, pero ‘¿qué podemos hacer con todo este pesar?'

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akiwa katika uchungu mkubwa, alisali kwa bidii zaidi; na jasho likamtoka, kama matone ya damu, likatiririka mpaka chini.

Spanish

y angustiado, oraba con mayor intensidad, de modo que su sudor era como grandes gotas de sangre que caían hasta la tierra

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!

Spanish

entonces los dolores de parto la empujaron hacia el tronco de la palmera. dijo: «¡ojalá hubiera muerto antes y se me hubiera olvidado del todo...!»

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yeye atayafuta machozi yao yote; maana hakutakuwako tena na kifo, wala uchungu, wala kilio, wala maumivu; maana ile hali ya kale imepita!"

Spanish

y dios enjugará toda lágrima de los ojos de ellos. no habrá más muerte, ni habrá más llanto, ni clamor, ni dolor; porque las primeras cosas ya pasaron.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

@hammonda1: #tunisia rais wa #tunisia marzouki alipata kwikwi ya uchungu alipozungumzia wahanga wa mapinduzi; akitoa mfano wa yanayotokea sasa palestina, syria na yemeni.

Spanish

@hammonda1: al presidente marzouki de #tunisia se le quiebra la voz con la mención de los mártires de la revolución; cita las actual lucha de palestinos, sirios y yemeníes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,799,765,247 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK