Results for watumishi translation from Swahili to Spanish

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

na wengine wakawakamata wale watumishi wakawatukana, wakawaua.

Spanish

y los otros tomaron a sus siervos, los afrentaron y los mataron

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akamwita mmoja wa watumishi, akamwuliza: kuna nini?

Spanish

después de llamar a uno de los criados, le preguntó qué era aquello

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huendi likizo ukiwa umeambatana na watumishi wote wa ofisi yako.

Spanish

uno no se va de vacaciones con la totalidad del personal de la oficina.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

iwe wanawapitia watumishi wao kama kwamba ni lulu zilizomo katika chaza.

Spanish

para servirles, circularán a su alrededor muchachos como perlas ocultas.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtu na atuone sisi kuwa ni watumishi wa kristo tuliokabidhiwa siri za mungu.

Spanish

que todo hombre nos considere como servidores de cristo y mayordomos de los misterios de dios

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watumishi wa serikali wanafukuzwa kazi kwa kutowapigia kampeni viongozi wao wa kisiasa.

Spanish

hubo despidos de funcionarios públicos por no hacer campaña por sus jefes políticos.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

muwe kama watumishi wanaomngojea bwana wao arudi kutoka arusini, ili wamfungulie mara atakapobisha hodi.

Spanish

y sed vosotros semejantes a los siervos que esperan a su señor cuando ha de volver de las bodas, para que le abran al instante en que llegue y llame

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"watumishi wengi wa idara ya afya wakiwa katika kituo cha polisi mjini maputo.

Spanish

muchos profesionales de la salud acá en la vi estación de policía de maputo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

watumishi wa afya lazima wavae mavazi haya maalum kuwakinga na maambukizi yanayoweza kutokea kwa wagonjwa wao.

Spanish

los médicos deben llevar estos trajes de protección para evitar entrar en contacto con los pacientes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama juhudi zitaendelea, huenda watumishi wa afya hawatahitajika kubandika picha zao kwenye nguo zao kwa muda mrefu.

Spanish

si todo va bien puede que los médicos no tengan que llevar sus fotos por mucho más tiempo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ishini kama watu huru; lakini msiutumie uhuru wenu kuuficha ubaya, bali ishini kama watumishi wa mungu.

Spanish

actuad como libres, y no como los que hacen de la libertad un pretexto para hacer lo malo, sino como siervos de dios

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huyo mtu akawatuma tena watumishi wengine, wengi kuliko wa safari ya kwanza. wale wakulima wakawatendea namna ileile.

Spanish

Él envió de nuevo otros siervos, en mayor número que los primeros, y les hicieron lo mismo

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo si jambo la kushangaza ikiwa na hao watumishi wake wanajisingizia kuwa watumishi wa haki. mwisho wao watapata kile wanachostahili kufuatana na matendo yao.

Spanish

así que, no es gran cosa que también sus ministros se disfracen como ministros de justificación, cuyo fin será conforme a sus obras

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na yusuf akawaambia watumishi wake: tieni bidhaa zao katika mizigo yao, ili wazione watakapo rudi kwa watu wao wapate kurejea tena.

Spanish

y dijo a sus esclavos: «¡poned su mercancía en sus alforjas. quizá la reconozcan cuando regresen a los suyos. quizás, así, regresen...»

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunajionyesha kuwa watumishi wa mungu kwa usafi wa moyo, elimu, uvumilivu na wema; kwa roho mtakatifu, kwa upendo usio na unafiki,

Spanish

en pureza, en conocimiento, en tolerancia, en bondad, en el espíritu santo, en amor no fingido

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lengo ni kuwajengea ujuzi unaotakiwa watumishi wa jeshi, polisi na watumishi wengine wa umma ili kukabiliana na changamoto zilizopo na masuala ya amani na usalama kwa siku za usoni barani afrika.

Spanish

su objetivo es proveer al ejército, a las fuerzas de seguridad y a los funcionarios públicos las habilidades necesarias para responder a los desafíos actuales y futuros relacionados con el mantenimiento de la paz y asuntos de seguridad en África.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alifikiri namna gani mavazi ya jinsi hii yanaleta hisia za kutengwa na kubaguliwa kwa wagonjwa. na kuanzia hapo akapa wazo la kuwapiga picha watumishi wa afya na kuziweka kwenye mavazi hayo ya kujilinda na maambukizi.

Spanish

pensó que los pacientes se tenían que sentir aislados y se le ocurrió la idea de hacer fotos a las caras del personal sanitario y posteriormente colocarlas en sus trajes de protección.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha kukatokea sauti kwenye kiti cha enzi: "msifuni mungu enyi watumishi wake wote, nyote mnaomcha, wadogo kwa wakubwa."

Spanish

entonces salió del trono una voz que decía: "¡load a nuestro dios, todos sus siervos y los que le teméis, tanto pequeños como grandes!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kwa maneno mengine, taratibu za ulinzi ambazo benki inazitumia hivi sasa zinategemea maamuzi ya watumishi, maamuzi ambayo mara nyingi hugubikwa na dhana zilizokuwepo kabla ya tukio, imani potofu na ubaguzi dhidi ya watu wa aina fulani.

Spanish

en otras palabras, el procedimiento de seguridad utilizado actualmente por los bancos se basa en sus prejuicios personales, a menudo plagados de ideas preconcebidas, estereotipos y discriminación contra ciertos tipos de personas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"lakini huyo mtumishi akaondoka, akamkuta mmoja wa watumishi wenzake aliyekuwa na deni lake fedha denari mia moja. akamkamata, akamkaba koo akisema, lipa deni lako!

Spanish

pero al salir, aquel siervo halló a uno de sus consiervos que le debía cien denarios, y asiéndose de él, le ahogaba diciendo: "paga lo que debes.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,945,577,747 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK