Usted buscó: evanðelju (Croata - Suajili)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Croatian

Swahili

Información

Croatian

evanðelju

Swahili

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Croata

Suajili

Información

Croata

po evanðelju slave blaženoga boga koje je meni povjereno.

Suajili

mafundisho hayo hupatikana katika habari njema ambayo mimi nimekabidhiwa niihubiri, habari njema ya mungu mtukufu na mwenye heri.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Croata

spominji se isusa krista, uskrsla od mrtvih, od potomstva davidova - po mojem evanðelju.

Suajili

mkumbuke yesu kristo aliyefufuliwa kutoka wafu, aliyekuwa wa ukoo wa daudi, kama isemavyo habari njema ninayoihubiri.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Croata

"ispunilo se vrijeme, približilo se kraljevstvo božje! obratite se i vjerujte evanðelju!"

Suajili

"wakati umetimia, na ufalme wa mungu umekaribia. tubuni na kuiamini habari njema!"

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Croata

da su pogani subaštinici i "sutijelo" i sudionici obeæanja u kristu isusu - po evanðelju,

Suajili

siri yenyewe ni hii: kwa njia ya habari njema watu wa mataifa mengine wanapata sehemu yao pamoja na wayahudi katika zile baraka za mungu; wao ni viungo vya mwili uleule, na wanashiriki ahadi ileile aliyofanya mungu kwa njia ya kristo yesu.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Croata

onomu koji vas može uèvrstiti - po mojem evanðelju i propovijedanju isusa krista, po objavljenju otajstva prešuæenog drevnim vremenima,

Suajili

basi, sasa na tumsifu mungu! yeye anaweza kuwaimarisheni katika ile habari njema niliyohubiri juu ya ujumbe wa yesu kristo, na katika ile siri iliyofunuliwa na ambayo ilikuwa imefichika kwa karne nyinyi zilizopita.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Croata

a oèitovana je sada pojavkom spasitelja našega krista isusa, koji obeskrijepi smrt i uèini da zasja život i neraspadljivost - po evanðelju

Suajili

lakini sasa imefunuliwa kwetu kwa kuja kwake mwokozi wetu yesu kristo. yeye amekomesha nguvu za kifo, na kwa njia ya habari njema akadhihirisha uzima usio kufa.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Croata

evanðelju koje je do vas doprlo te plodove nosi i raste, kao što po svem svijetu, tako i meðu vama od dana kad ste èuli i spoznali milost božju po istini,

Suajili

habari njema inazidi kuzaa matunda na kuenea ulimwenguni kote kama vile ilivyofanya kwenu ninyi tangu siku ile mliposikia juu ya neema ya mungu na kuitambua ilivyo kweli.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Croata

ta vrijeme je da zapoène sud - od doma božjega. no ako veæ od vas zapoèinje, kakav je onda svršetak onih što nisu poslušni božjem evanðelju?

Suajili

wakati wa hukumu umefika, na hukumu hiyo inaanza na watu wake mungu mwenyewe. ikiwa hukumu hiyo inaanzia kwetu sisi, basi mwisho wake utakuwa namna gani kwa wale wasioamini habari njema ya mungu?

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Croata

ako drugi sudjeluju u vašim dobrima, zašto ne bismo mi mogli još veæma. ali nismo se poslužili tim pravom, nego sve teglimo da ne bismo postavili kakvu zapreku evanðelju kristovu?

Suajili

ikiwa wengine wanayo haki ya kutazamia hayo kutoka kwenu, je, sisi hatuna haki zaidi kuliko hao? lakini, sisi hatukuitumia haki hiyo, badala yake, tumestahimili kila kitu ili tusiiwekee kizuizi chochote habari njema ya kristo.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,794,471,064 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo