Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
'arruda out'.
‘arruda atoke.’
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
protesters have been demanding the impeachment of the governor of the federal district, jose roberto arruda, and his deputy, paulo octavio, in addition to a thorough investigation into all parties cited in the bribery scandal that led to a police operation codenamed pandora box.
waandamanaji wamekuwa wakidai kuondolewa madarakani kwa gavana wa wilaya ya kitaifa, jose roberto arruda, na makamu wake, paulo octavio, pamoja na uchunguzi wa kina wa pande zote zilizotajwa katika kesi ya hongo ambayo ilipelekea operesheni ya polisi iliyopewa jina la kasha la pandora.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
according to the investigation, governor arruda is the possible head of a r$ 600,000 (approximately $340,000) per month bribery scheme that has benefited allies among district members of parliament, businessmen and government officials.
kwa mujibu wa uchunguzi, gavana arruda anawezekana akawa ndiye kiongozi wa mpango wa rushwa wa r$ 600,000 (takriban dola za kimarekani 340,000 ) kwa mwezi ambao umewanufaisha wabunge, wafanyabiashara na maofisa wa serikali.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: