Usted buscó: expensive (Inglés - Suajili)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

English

Swahili

Información

English

expensive

Swahili

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Inglés

Suajili

Información

Inglés

expensive hi

Suajili

expensive

Última actualización: 2020-06-16
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

the opposite of the expensive word

Suajili

ghali

Última actualización: 2019-07-08
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

in some cases that means more expensive tickets.

Suajili

katika baadhi ya visa hiyo inamaanisha tiketi ghali zaidi.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

the capital of angola, luanda, is a very expensive city.

Suajili

mji mkuu wa angola, luanda, ni mji aghali sana.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

we were able to witness the price of freedom of expression is dearly expensive.

Suajili

tumeweza kushuhudia gharama ya uhuru wa kujieleza kwa namna iliyotugharimu kupita kiasi.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

electricity is also increasingly expensive commodity for most of the country’s citizens.

Suajili

umeme unaendelea kuwa bidhaa ghali kwa raia wengi kuweza kumudu bei yake.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

in other words, i'm shooting down the argument that it would be too expensive to do.

Suajili

kwa maneno mengine, ninamaliza majadiliano kwamba eti itakuwa ghali sana kufanya hivyo.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

it don't feel sad if someone ignores you people usually ignore expensive things and go for the cheap one

Suajili

don’t feel sad if someone ignore you people usually ignore expensive things and go for the cheap one

Última actualización: 2023-05-13
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

- public transport here is not very good, but getting a car is very expensive. i would’ve got one

Suajili

- usafiri wa umma hapa si mzuri sana, lakini kumiliki gari pia ni ghali mno, vinginevyo ningekuwa nimeshajipatia moja

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

according to a survey conducted in february by an english company, eca international - luanda ranks first among the most expensive cities in the world.

Suajili

kwa mujibu wa tafiti iliyofanywa mwezi wa pili na kampuni ya kiingereza, eca international – mji wa luanda ni wa kwanza kati ya miji ghali kupita yote duniani.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

...if the proposal was conceptualized because of the expensive annulment case proceedings, i would rather propose a counter-bill to put a price cap on the cost of annulment.

Suajili

… kama pendekezo hili lilianza kufikiriwa kwa sababu ya gharama kubwa za kesi za kubatilisha ndoa, basi ningependekeza muswada wa kupinga ili kuweka kikomo cha gharama za kubatilisha.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

cheap options such as email, voice-over-internet or instant messaging may not be accessible or affordable, and access to the internet in africa is very expensive.

Suajili

njia mbadala za bei nafuu kama vile barua pepe, au simu za kwenye intaneti au ujumbe mfupi wa maneno zinaweza kuwa hazipatikani au aghali, na upatikanaji wa intaneti barani afrika ni ghali mno.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

these benefits, however, only apply to products and services that serve for religious activities, while the serbian orthodox church is known to have a variety of the most expensive vehicles in the ownership of the church, used by its officials and employees.

Suajili

faida hizi, hata hivyo, hutumika tu kwa bidhaa na huduma zinazotumika kwa ajili ya shughuli za kidini, wakati kanisa la serbia la orthodox inajulikana kuwa na aina mbalimbali za magari ya gharama kubwa katika umiliki wa kanisa, zinazotumiwa na viongozi wake na wafanyakazi.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Inglés

as internet access is sparse and often prohibitively expensive outside of cities, many of the people blogging from rural areas are peace corps volunteers (pcvs) and are therefore positioned to give an outsiders' perspective...from the inside.

Suajili

kwa kuwa upatikanaji wa intaneti upo sehemu chache n amara nyingi ni wa aghali mno nje miji mikubwa, wengi wanaoblugu kutokea sehemu za mashamba ni wafanyakazi wa amani wa kujitolea (pcvs) na kwa hiyo wako katika nafasi ya kuweza kutoa mitazamo kama wageni kutoka nje… walioko ndani.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Obtenga una traducción de calidad con
7,746,544,407 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo