Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
* sania mirza got all the fame, popularity, wealth and iconic status in a very young age.
* sania mirza amepata umaarufu wote, kujulikana, utajiri na nafasi ya kuwa kama nembo wakati akiwa na umri mdogo sana.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
some mourners took photos and tweeted live as people grieved, fainted and demanded to carry the coffin of the much-loved iconic actor to the cemetery.
waombolezaji walipiga picha na kutuma ujumbe wa moja moja kupitia mtandao wa twita wakati watu wakiomboleza, ambapo kulikuwa na matukio ya wengine kuzimia na wengine wakidai kuruhusiwa kulibeba jeneza la mwigizaji huyo nguli aliyetokea kupendwa kuelekea makaburini.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
the most iconic locations in argentina were transformed into party venues and, unsurprisingly, the argentines at brazil's copacabana beach also celebrated:
maeneo mengi maarufu ya ajentina yaligeuzwa kuwa maeneo ya sherehe, na katika hali ya kushangaza, wa-ajentina waliokuwa kwenye ufukwe wa copacabana nchini brazili walisherehekea pia:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
bahrain awoke to a violent crackdown by police on demonstrators camped out at the country's iconic lulu (pearl) roundabout on wednesday.
bahrain iliingia kwenye vurugu kubwa zilizoambatana na polisi kutumia nguvu dhidi ya waandamanaji waliopiga kambi katika eneo muhimu la wazi linalohusudiwa sana liitwalo lulu jumatano iliyopita.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: