Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
the memorial stone at kyaddondo rugby club
mnara wa kumbukumbu ya mashambuzi hayo huko kyaddondo
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
the facebook event about the memorial service states:
tukio la facebook kuhusu ibada ya kumbukumbu linaeleza:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
michael abramowitz of the us holocaust memorial museum was in kigali for the ceremonies.
michael abramowitz anayetoka katika makumbusho ya kumbukumbu ya mauaji ya huko marekani naye alikuwepo kigali kwa ajili ya tukio hili.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
we, even we, appointed it a memorial and a comfort for the dwellers in the wilderness.
sisi tumeufanya uwe ni ukumbusho na manufaa kwa walioko nyikani.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
khan, who was at a rally in the city of lahore, was immediately rushed to the shaukat khanum memorial hospital.
khan, aliyekuwa katika mkutano katika jiji la lahore, alikimbizwa haraka kwenye hospitali ya kumbukumbu ya shaukat khanum.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
old woman dancing out of the polling station at garang memorial singing 'bye bye arab' #sudanref
mwanamke ajuza akicheza nje ya kituo cha kupigia kura kwenye makumbusho ya garang (dr. john) akiimba “kwa heri waarabu” #sudanref
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
that we might make it a memorial for you, and that remembering ears (that heard the story) might remember.
ili tuyafanye hayo kuwa ni waadhi kwenu na kila sikio linalo sikia liyahifadhi.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
we have made it a memorial (of our handiwork), and an article of comfort and convenience for the denizens of deserts.
sisi tumeufanya uwe ni ukumbusho na manufaa kwa walioko nyikani.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
verily i say unto you, wheresoever this gospel shall be preached throughout the whole world, this also that she hath done shall be spoken of for a memorial of her.
nawaambieni kweli, popote ulimwenguni habari njema itakapohubiriwa, kitendo hiki alichofanya kitatajwa kwa ajili ya kumkumbuka."
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
and we bestowed on him (again) his household and therewith the like thereof, a mercy from us, and a memorial for men of understanding.
na tukampa ahali zake na wengine kama wao pamoja nao, kuwa ni rehema itokayo kwetu, na iwe kumbusho kwa watu wenye akili.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
verily i say unto you, wheresoever this gospel shall be preached in the whole world, there shall also this, that this woman hath done, be told for a memorial of her.
nawaambieni kweli, popote ambapo hii habari njema itahubiriwa ulimwenguni, kitendo hiki alichofanya mama huyu kitatajwa kwa kumkumbuka yeye."
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
the event included a reading of original poetry, a candlelight mini-memorial with a minute of silence and also the creation of cards addressed to the families of the 147 victims to be mailed to kenya later.
tukio hilo lilihusisha kusomwa kwa mashairi yaliyotungwa na washiriki wenyewe, kuwasha mishumaa ya maombolezo inayoambatana na dakika moja ya kukaa kimya na pia kutengeneza kadi za pole zilizoandikwa kwa anuani za familia za wahanga 147 ambazo zingetumwa nchini kenya baadae.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
and when he looked on him, he was afraid, and said, what is it, lord? and he said unto him, thy prayers and thine alms are come up for a memorial before god.
kornelio alimkodolea macho huyo malaika kwa hofu, akamwambia, "kuna nini mheshimiwa?" huyo malaika akamwambia, "mungu amezipokea sala na sadaka zako kwa maskini.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
then contemplate (o man!) the memorials of allah's mercy!- how he gives life to the earth after its death: verily the same will give life to the men who are dead: for he has power over all things.
basi ziangalie athari za rehema ya mwenyezi mungu, jinsi anavyo ihuisha ardhi baada ya kufa kwake. basi hakika huyo ndiye bila ya shaka mwenye kuhuisha wafu.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad: