Demander à Google

Vous avez cherché: memorial (Anglais - Swahili)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Anglais

Swahili

Infos

Anglais

The Memorial stone at Kyaddondo Rugby Club

Swahili

Mnara wa kumbukumbu ya mashambuzi hayo huko Kyaddondo

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

The Facebook event about the memorial service states:

Swahili

Tukio la Facebook kuhusu ibada ya kumbukumbu linaeleza:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

Michael Abramowitz of the US Holocaust Memorial Museum was in Kigali for the ceremonies.

Swahili

Michael Abramowitz anayetoka katika Makumbusho ya Kumbukumbu ya Mauaji ya huko Marekani naye alikuwepo Kigali kwa ajili ya tukio hili.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

We, even We, appointed it a memorial and a comfort for the dwellers in the wilderness.

Swahili

Sisi tumeufanya uwe ni ukumbusho na manufaa kwa walioko nyikani.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

Khan, who was at a rally in the city of Lahore, was immediately rushed to the Shaukat Khanum Memorial Hospital.

Swahili

Khan, aliyekuwa katika mkutano katika jiji la Lahore, alikimbizwa haraka kwenye Hospitali ya Kumbukumbu ya Shaukat Khanum.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

Pictures of children victims of genocide at the Kigali Memorial Center (Photo by Elia Varela Serra)

Swahili

Picha za watoto wahanga wa mauaji ya Kimbari katika Kituo cha Kumbukumbu cha Kigali (Picha na Elia Varela Serra).

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

Old woman dancing out of the polling station at Garang memorial singing 'bye bye arab' #SudanRef

Swahili

Mwanamke ajuza akicheza nje ya kituo cha kupigia kura kwenye makumbusho ya Garang (Dr. John) akiimba “Kwa heri waarabu” #SudanRef

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

That We might make it a memorial for you, and that remembering ears (that heard the story) might remember.

Swahili

Ili tuyafanye hayo kuwa ni waadhi kwenu na kila sikio linalo sikia liyahifadhi.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

We have made it a memorial (of Our handiwork), and an article of comfort and convenience for the denizens of deserts.

Swahili

Sisi tumeufanya uwe ni ukumbusho na manufaa kwa walioko nyikani.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

Verily I say unto you, Wheresoever this gospel shall be preached throughout the whole world, this also that she hath done shall be spoken of for a memorial of her.

Swahili

Nawaambieni kweli, popote ulimwenguni Habari Njema itakapohubiriwa, kitendo hiki alichofanya kitatajwa kwa ajili ya kumkumbuka."

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Anglais

And We bestowed on him (again) his household and therewith the like thereof, a mercy from Us, and a memorial for men of understanding.

Swahili

Na tukampa ahali zake na wengine kama wao pamoja nao, kuwa ni rehema itokayo kwetu, na iwe kumbusho kwa watu wenye akili.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

Verily I say unto you, Wheresoever this gospel shall be preached in the whole world, there shall also this, that this woman hath done, be told for a memorial of her.

Swahili

Nawaambieni kweli, popote ambapo hii Habari Njema itahubiriwa ulimwenguni, kitendo hiki alichofanya mama huyu kitatajwa kwa kumkumbuka yeye."

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Anglais

The event included a reading of original poetry, a candlelight mini-memorial with a minute of silence and also the creation of cards addressed to the families of the 147 victims to be mailed to Kenya later.

Swahili

Tukio hilo lilihusisha kusomwa kwa mashairi yaliyotungwa na washiriki wenyewe, kuwasha mishumaa ya maombolezo inayoambatana na dakika moja ya kukaa kimya na pia kutengeneza kadi za pole zilizoandikwa kwa anuani za familia za wahanga 147 ambazo zingetumwa nchini Kenya baadae.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

When he was at high school (William Knibb Memorial High) almost every evening he used to hang out in my video store before going home so I have always watched his progress over the years.

Swahili

Alipokuwa shule ya sekondari ya juu (Shule ya kumbukumbu ya William Knibb) karibu kila jioni alikuwa akibarizi kwenye duka langu la luninga kabla ya kwenda nyumbani kwa hiyo nimekuwa nikangalia maendeleo yake kwa miaka kadhaa.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

And when he looked on him, he was afraid, and said, What is it, Lord? And he said unto him, Thy prayers and thine alms are come up for a memorial before God.

Swahili

Kornelio alimkodolea macho huyo malaika kwa hofu, akamwambia, "Kuna nini Mheshimiwa?" Huyo malaika akamwambia, "Mungu amezipokea sala na sadaka zako kwa maskini.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Anglais

Then contemplate (O man!) the memorials of Allah's Mercy!- how He gives life to the earth after its death: verily the same will give life to the men who are dead: for He has power over all things.

Swahili

Basi ziangalie athari za rehema ya Mwenyezi Mungu, jinsi anavyo ihuisha ardhi baada ya kufa kwake. Basi hakika huyo ndiye bila ya shaka Mwenye kuhuisha wafu.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Anglais

Wherein are plain memorials (of Allah's guidance); the place where Abraham stood up to pray; and whosoever entereth it is safe.

Swahili

Ndani yake zipo Ishara zilizo wazi - masimamio ya Ibrahim, na mwenye kuingia humo anakuwa katika amani.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
4,401,923,520 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK