Usted buscó: responsabilità (Italiano - Suajili)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Italiano

Suajili

Información

Italiano

responsabilità

Suajili

asante

Última actualización: 2015-12-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Italiano

il talento non è un dono, ma una responsabilità.

Suajili

kipaji si zawadi, bali wajibu.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Italiano

il gruppo in questione ha elogiato gli attentati senza però rivendicarne la responsabilità.

Suajili

kundi hilo limepongeza kutokea kwa milipuko hiyo lakini hakikusema kama kinahusika nayo ama hapana.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Italiano

esse hanno diritti equivalenti ai loro doveri, in base alle buone consuetudini, ma gli uomini hanno maggior responsabilità.

Suajili

nao wanawake wanayo haki kwa sharia kama ile haki iliyo juu yao. na wanaume wana daraja zaidi kuliko wao.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Italiano

perseguitare e fare causa alle persone che dissentono o criticano il governo va contro il principio fondamentale stesso della democrazia e della responsabilità del governo.

Suajili

demokrasia inadai ushirikishaji huru wa raia kwenye michakato ya kisiasa, na hiyo inahusisha pia haki ya kukosoa, na haki ya kuamua serikali inayokuwa madarakani.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Italiano

gli ultimi resoconti attribuiscono la responsabilità della strage a un attentatore suicida che avrebbe innescato la bomba che portava con sé una volta a bordo del pullman.

Suajili

ripoti zinadai kuwa shambulio hilo inawezekana lilifanywa na kijana aliyekuwa amevaa bomu la kujitoa muhanga, ambaye huenda alikuwa kando ya basi ama aliingia ndani ya basi.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Italiano

i sette attivisti hanno cercato di difendere i diritti umani, mostrare le responsabilità delle autorità al pubblico e di sostenere lo stato di diritto nel loro paese.

Suajili

watetezi hawa saba wamekuwa wakitetea haki za binadamu, kuweka bayana maovu ya maafisa wa serikali pamoja na kudai utawala wa sheria nchini mwao.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Italiano

alcuni di loro avevano lavorato con la zona9, un gruppo di blogger che si dedicava a coprire temi politici e sociali in etiopia e a promuovere i diritti umani e la responsabilità statale.

Suajili

baadhi ya wanaume na wanawake hawa walikuwa wakifanya kazi na zone9, blogu ya ushirika iliyokuwa inazungumzia masuala ya kijamii na ya kisiasa nchini ethiopia ikiwa ni pamoja na kuhamasisha uzingatiaji wa haki za binadamu na uwajibikaji wa serikali.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Italiano

lo scrittore thitipol panyalimpanun fa notare che, nella maggior parte dei paesi del mondo, la responsabilità degli incidenti stradali è attribuita a chi è alla guida di un veicolo e non al veicolo stesso.

Suajili

mwandishi thitipol panyalimpanun anabainisha kuwa katika nchi nyingi, ajali za barabarani hulaumiwa kwa makosa dereva na si juu ya magari.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Italiano

due esempi sono quelle con protesi al seno pip in colombia e donne con protesi al seno in colombia, che pubblica anche un blog, su cui alcune hanno chiamato in causa la responsabilità delle istituzioni sanitarie pubbliche:

Suajili

mifano miwili ya vikundi hivi ni wale walioathirika na virutubisha matiti nchini columbia na mwanamke aliyeathirika kwa kukuza matiti nchini columbia, ambalo pia limetengeneza blogu, ambapo baadhi ya watu wamehoji kuwajibika kwa taasisi za umma zenye dhamana ya afya ya jamii:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Italiano

il conduttore tv cao baoying ritiene che con questa legge il governo possa declinare le proprie responsabilità: introducendo la legge, enfatizza il dovere civico unilaterale, indebolendo allo stesso tempo le responsabilità del governo.

Suajili

kwa kuanzisha sheria hii, serikali inasisitiza uwajibikaji wa upande mmoja, yaani jukumu la wananchi, lakini kwa upande mwingine inadumaza majukumu ya serikali.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Italiano

in verità proponemmo ai cieli, alla terra e alle montagne la responsabilità [della fede] ma rifiutarono e ne ebbero paura, mentre l'uomo se ne fece carico.

Suajili

kwa hakika sisi tulikadimisha amana kwa mbingu na ardhi na milima; na vyote hivyo vikakataa kuichukua na vikaogopa. lakini mwanaadamu akaichukua.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Italiano

dalla fine degli anni novanta i paesi donatori hanno ripetutamente richiesto le prove che chiarissero la misura dei miglioramenti nella "governance" - rispetto al livello della corruzione, delle responsabilità degli organi governativi e dell'applicazione delle leggi.

Suajili

tangu mwishoni mwa miaka ya 1990, nchi wafadhili nyingi kila mara zimekuwa zikidai ushahidi wa kuboreshwa kwa “utawala” – katika kile ambacho kinahusiana na ufisadi, uboreshwaji katika uwajibikaji na utawala wa sheria.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,800,220,541 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo