Usted buscó: linguis (Latín - Suajili)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Latin

Swahili

Información

Latin

linguis

Swahili

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Latín

Suajili

Información

Latín

audiebant enim illos loquentes linguis et magnificantes deu

Suajili

maana waliwasikia wakiongea kwa lugha mbalimbali wakimtukuza mungu. hapo petro akasema,

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

itaque fratres aemulamini prophetare et loqui linguis nolite prohiber

Suajili

hivyo basi, ndugu zangu, mnapaswa kuwa na hamu ya kutangaza ujumbe wa mungu; lakini msimkataze mtu kusema kwa lugha ngeni.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

et dicunt mihi oportet te iterum prophetare populis et gentibus et linguis et regibus multi

Suajili

kisha nikaambiwa, "inakubidi tena kutangaza ujumbe wa mungu kuhusu watu wengi, mataifa, watu wa lugha nyingi na wafalme!"

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Latín

et cum inposuisset illis manum paulus venit spiritus sanctus super eos et loquebantur linguis et prophetaban

Suajili

basi, paulo akawawekea mikono, na roho mtakatifu akawashukia, wakaanza kusema lugha mbalimbali na kutangaza ujumbe wa mungu.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

et repleti sunt omnes spiritu sancto et coeperunt loqui aliis linguis prout spiritus sanctus dabat eloqui illi

Suajili

wote wakajazwa roho mtakatifu, wakaanza kusema lugha mbalimbali kadiri roho alivyowawezesha.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

in lege scriptum est quoniam in aliis linguis et labiis aliis loquar populo huic et nec sic exaudient me dicit dominu

Suajili

imeandikwa katika sheria: "bwana asema hivi: kwa njia ya wenye kunena lugha ngeni, na kwa midomo ya wageni, nitasema na watu hawa, hata hivyo, hawatanisikiliza."

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Latín

si ergo conveniat universa ecclesia in unum et omnes linguis loquantur intrent autem idiotae aut infideles nonne dicent quod insaniti

Suajili

basi, kanisa lote linapokutana pamoja, na wote wakaanza kusema kwa lugha ngeni, kama wakija watu wa kawaida au wasioamini, je, hawatasema kwamba ninyi mna wazimu?

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

et videbunt de populis et tribubus et linguis et gentibus corpora eorum per tres dies et dimidium et corpora eorum non sinunt poni in monumenti

Suajili

watu wa kila kabila, lugha, taifa na rangi wataziangalia maiti hizo kwa muda wa siku tatu na nusu, na hawataruhusu zizikwe.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

volo autem omnes vos loqui linguis magis autem prophetare nam maior est qui prophetat quam qui loquitur linguis nisi si forte ut interpretetur ut ecclesia aedificationem accipia

Suajili

basi, ningependa ninyi nyote mseme kwa lugha ngeni lakini ningependelea hasa muwe na kipaji cha kutangaza ujumbe wa mungu, maana mtu mwenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa mungu, ni wa maana zaidi kuliko yule mwenye kusema lugha ngeni, isipokuwa tu kama yupo hapo mtu awezaye kuyafafanua hayo mambo asemayo, ili kanisa lipate kujengwa.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

post haec vidi turbam magnam quam dinumerare nemo poterat ex omnibus gentibus et tribubus et populis et linguis stantes ante thronum et in conspectu agni amicti stolas albas et palmae in manibus eoru

Suajili

kisha nikatazama, nikaona umati mkubwa wa watu wasiohesabika: watu wa kila taifa, ukoo, jamaa na lugha. nao walikuwa wamesimama mbele ya kiti cha enzi na mbele ya mwanakondoo, wakiwa wamevaa mavazi meupe na kushika matawi ya mitende mikononi mwao.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,746,083,132 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo