Usted buscó: zawadi (Suajili - Árabe)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

Arabic

Información

Swahili

zawadi

Arabic

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Árabe

Información

Suajili

tumshukuru mungu kwa ajili ya zawadi yake isiyo na kifani!

Árabe

فشكرا للّه على عطيته التي لا يعبّر عنها

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mfanyakazi hulipwa mshahara; mshahara wake si zawadi bali ni haki yake.

Árabe

اما الذي يعمل فلا تحسب له الاجرة على سبيل نعمة بل على سبيل دين.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa maana ninatamani sana kuwaoneni ili nipate kuwagawieni zawadi ya kiroho na kuwaimarisha.

Árabe

لاني مشتاق ان اراكم لكي امنحكم هبة روحية لثباتكم.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

maana mungu akisha wapa watu zawadi zake na kuwateua, hajuti kwamba amefanya hivyo.

Árabe

لان هبات الله ودعوته هي بلا ندامة.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mwanariadha yeyote hawezi kushinda na kupata zawadi ya ushindi kama asipozitii sheria za michezo.

Árabe

وايضا ان كان احد يجاهد لا يكلّل ان لم يجاهد قانونيا.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

watu walitupatia zawadi mbalimbali na wakati tulipoanza tena safari, walitia ndani ya meli masurufu tuliyohitaji.

Árabe

‎فاكرمنا هؤلاء اكرامات كثيرة ولما اقلعنا زودونا ما يحتاج اليه

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

enrique ameshatunukiwa zawadi kadhaa za kitaifa za utungaji wa vitabu na hadi sasa ameshaandika vitabu sita vya simulizi.

Árabe

حاليا يقوم بالتركيز على أسرار شعب المايا في كتابه “el fin los dias”

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mwanablogu wa nnepali aishiye ughaibuni indra anampongeza waziri mkuu mpya na anafikiri kwamba "zawadi aliyonayo bw.

Árabe

يهنئ المدون المغترب النيبالي اندرا رئيس الوزراء الجديد ويعتقد أن "تواضع السيد كويرالا وصدقه ستساعد الآخرين على المدى الطويل".

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

alikusudia kutoa zawadi zipatazo 500 pamoja na barua ya kukuza uelewa wa watu kuhusu suala la kukamatwa kwa watu kiholela nchini saudi arabia.

Árabe

كانت ريما تخطط لتوزيع 500 هدية تحتوي على رسائل لنشر الوعي بقضية الاعتقال التعسفي بالسعودية.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kila kuhani mkuu huchaguliwa kutoka miongoni mwa watu kwa ajili ya kumtumikia mungu kwa niaba yao, kutolea zawadi na tambiko kwa ajili ya dhambi zao.

Árabe

لان كل رئيس كهنة مأخوذ من الناس يقام لاجل الناس في ما للّه لكي يقدم قرابين وذبائح عن الخطايا

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

atukuzwe mungu na baba wa bwana wetu yesu kristo! maana, katika kuungana na kristo ametubariki kwa kutujalia zawadi zote za kiroho mbinguni.

Árabe

مبارك الله ابو ربنا يسوع المسيح الذي باركنا بكل بركة روحية في السماويات في المسيح

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

enyi vipofu! ni kipi kilicho cha maana zaidi: ile zawadi, au madhabahu ambayo hufanya hiyo zawadi kuwa takatifu?

Árabe

ايها الجهال والعميان ايما اعظم القربان أم المذبح الذي يقدس القربان.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hapa ni zawadi sahihi kabisa ya kuukaribisha mwaka mpya: kitabu-pepe kipya tulichokiandika kwa heshima yaeneo la afrika kusini mwa jangwa la sahara.

Árabe

تفضلوا بقبول هديتنا المثالية للترحيب بالعام الجديد: كتابنا الإلكتروني الجديد. نهديه لإقليم جنوب الصحراء الأفريقية.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

wakati reema alipoachiliwa, aliandika mfululizo wa twiti kueleza yaliyotokea: saa 10:30 alfajiri, mimi nilielekea kwenye msikiti wa eid na zawadi zangu.

Árabe

الساعه 4:30 صباحاً، توجهت إلى المسجد المقام فيه صلاة العيد وبصحبتي هدايا.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa hiyo, nimeona ni lazima kuwaomba hawa ndugu watutangulie kuja kwenu, wapate kuweka tayari zawadi yenu kubwa mliyoahidi; nayo ionyeshe kweli kwamba ni zawadi iliyotolewa kwa hiari na si kwa kulazimishwa.

Árabe

فرأيت لازما ان اطلب الى الاخوة ان يسبقوا اليكم ويهيئوا قبلا بركتكم التي سبق التخبير بها لتكون هي معدة هكذا كانها بركة لا كانها بخل.

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

unaweza hata kutuma nakala yake (katika mfumo wa pdf, epub au mobipocket) kwa ndugu ay marafiki zako kokote walipo duniani, labda kama zawadi ya mchango wao kwa gv.

Árabe

بإمكانكم تحميل الكتاب من هنا، كما يمكنكم إرسال نسخة بصيغة (pdf, epub, mobipocket) لأصدقائكم وأقاربكم حول العالم، كهدية ودعوة للتبرع للأصوات العالمية.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa waandaaji, sehemu ya ufumbuzi wa tatizo ni "mbuzi za bure zaidi", na ni kwamba katika tukio la kwanza mwaka 2010, zawadi ya kushinda mbio walikuwa mbuzi.

Árabe

" بالنسبة للمنظمين فإن جزءاً من الحل لهذه المشكلة هو "المزيد من الماعز المجاني"، وهذا هو السبب في الفاعلية الأولى في عام 2010، حيث كانت الجوائز للفوز في السباق هي الماعز.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

shukrani za kipekee pia ziwaendee doris isubal-mongaya na timu yake ya prworks kwa kutumia maarifa na ujuzi wao wa hali ya juu uliofanya maisha yetu ya cebu, kwa namna kadha wa kadha, kuwa ya kipekee sana-pia tunashukuru sana kwa zawadi ya video iliyochukuliwa kutokea angani.

Árabe

نشكر بشكل خاص دوريس إزابيل-مونجايا وفريقها في بي آر ووركس لمهاراتهم التنظيمية الأكثر من رائعة، ولمساتهم التي تنم عن الخبرة الطويلة، والتي جعلت الوقت الذي أمضيناه في سيبو رائعًا وخاصًا - وهديتهم الفيديو السابق.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,730,674,609 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo