Usted buscó: unakuja (Suajili - Hebreo)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

Hebrew

Información

Swahili

unakuja

Hebrew

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Hebreo

Información

Suajili

msistaajabie jambo hili; maana wakati unakuja ambapo wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake,

Hebreo

אל תתמהו על זאת כי הנה שעה באה אשר כל שכני קבר את קולו ישמעון׃

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

watu watawatenga ninyi na masunagogi yao. tena, wakati unakuja ambapo kila atakayewaua ninyi atadhani anamhudumia mungu.

Hebreo

הנה ינדו אתכם ואף באה השעה אשר כל הרג אתכם ידמה להקריב עבודה לאלהים׃

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kukiwa bado mchana yatupasa kuendelea kufanya kazi za yule aliyenituma; maana usiku unakuja ambapo mtu hawezi kufanya kazi.

Hebreo

עלי לעשות מעשי שלחי בעוד יום יבוא הלילה אשר בו לא יוכל איש לפעל׃

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

yesu akamwambia, "niamini; wakati unakuja ambapo hamtamwabudu baba juu ya mlima huu, wala kule yerusalemu.

Hebreo

ויאמר אליה ישוע אשה האמיני לי כי תבוא שעה אשר לא בהר הזה אף לא בירושלים תשתחוו לאב׃

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

kweli nawaambieni, wakati unakuja, tena umekwisha fika, ambapo wafu wataisikia sauti ya mwana wa mungu, nao watakaoisikia, wataishi.

Hebreo

אמן אמן אני אמר לכם כי תבוא שעה ועתה היא אשר ישמעו המתים את קול בן האלהים והשמעים חיה יחיו׃

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

lakini yohane alijaribu kumzuia akisema, "je, wewe unakuja kwangu? mimi hasa ndiye ninayehitaji kubatizwa nawe."

Hebreo

ויוחנן חשך אותו לאמר אני צריך להטבל על ידך ואתה בא אלי׃

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

lakini wakati unakuja, tena umekwisha fika, ambapo wanaoabudu kweli, watamwabudu baba kwa nguvu ya roho; watu wanaomwabudu hivyo ndio baba anaotaka.

Hebreo

אולם תבוא שעה ועתה היא אשר עבדי אל האמתים ישתחוו לאב ברוח ובאמת כי במשתחוים כאלה חפץ האב׃

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

wakati unakuja, tena umekwisha fika, ambapo ninyi nyote mtatawanyika kila mtu kwake, nami nitaachwa peke yangu. kumbe, lakini mimi siko peke yangu, maana baba yu pamoja nami.

Hebreo

הנה שעה באה ועתה זה הגיעה ונפצותם איש איש לביתו ואתי תעזבו לבדי ואינני לבדי כי אבי עמדי׃

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,791,702,950 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo