Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
huyo mtu aliyeponywa alikuwa na umri wa miaka zaidi ya arobaini.
for the man was above forty years old, on whom this miracle of healing was shewed.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
lakini walipomwona yule mtu aliyeponywa amesimama pamoja nao, hawakuweza kusema kitu.
and beholding the man which was healed standing with them, they could say nothing against it.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kwa hiyo baadhi ya wayahudi wakamwambia huyo mtu aliyeponywa, "leo ni sabato, si halali kubeba mkeka wako."
the jews therefore said unto him that was cured, it is the sabbath day: it is not lawful for thee to carry thy bed.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
basi, baadaye yesu alimkuta huyo aliyeponywa hekaluni, akamwambia, "sasa umepona; usitende dhambi tena, usije ukapatwa na jambo baya zaidi."
afterward jesus findeth him in the temple, and said unto him, behold, thou art made whole: sin no more, lest a worse thing come unto thee.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible