Usted buscó: aliyoyatoa (Suajili - Inglés)

Suajili

Traductor

aliyoyatoa

Traductor

Inglés

Traductor
Traductor

Traduce al momento textos, documentos y pistas de voz con Lara

¡Traducir ahora!

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

angalia mapendekezo ya ajabu aliyoyatoa kuffuor kwamba afanyiwe pale atakapo sio rais tena.

Inglés

look at the ridiculous things that kuffuor proposed that should be given to him when he became e- president.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

moja likihusiana na matamshi aliyoyatoa tarehe 31 julai –kwamba anc haikuwa ikijihusiaha tena na masuala yanayohusu maslahi ya afrika.

Inglés

one related to a statement he made on july 31 – that the anc was no longer dealing with issues affecting the interests of africa.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

rais wa zimbabwe robert mugabe ameikasirisha naijeria kwa matamshi aliyoyatoa machi 15, 2014 wakati wa sherehe ya kuzaliwa kwake kuwa naijeria na raia wake ni mafisadi.

Inglés

zimbabwe's president robert mugabe has angered nigeria with comments made on march 15, 2014 during his 90th birthday luncheon that nigeria and its citizens are corrupt.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

aad ingependa kumlaani mkuu wa mkoa wa ashanti mhe. opoku-manu kwa maoni yake yenye kinyaa na ya hovyo aliyoyatoa mwishoni mwa juma; yenye mwelekeo wa kuvuruga amani na usalama wa taifa hili.

Inglés

the alliance for the advancement of democracy (aad) wishes to condemn the ashanti regional minister- hon. opoku-manu for his malicious and distasteful comments made over the weekend; which have the propensity to destabilize the peace and security of this nation.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

baada ya kusababisha mshangao kote barani afrika kwa matamshi aliyoyatoa mbele ya vyombo vya habari siku moja kablda, elysée ilisema "inalaani ghasia zozote na inaunga mkono uhuru wa kujieleza. anatoa mfano wa hotuba yake aliyoitoa jijini dakar mnamo novemba 29, 2014 alizungumzia matarajio yake kwa katiba zote kuheshimiwa na zoezi la kuwasikiliza wapiga kura kufanyika katika mazingira yenye uwazi wa kutosha."

Inglés

after causing disappointment all over africa with remarks made to the media the day before, the elysée released a tardy statement saying that it "condemned any violence and supports freedom of expression. points out his speech in dakar on the 29th november 2014 where he expressed his wish for all constitutions to be respected and for consultation of the electorate to take place under conditions of undisputed transparency."

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
8,913,794,438 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo